Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Kenya

  • Mazungumzo ya simu ya Marais  Kenyatta na Obama

    Mazungumzo ya simu ya Marais Kenyatta na Obama

    Jun 24, 2016 03:41

    Rais Barack Obama wa Marekani amefanya mazungumzo na mwenzake wa Kenya Uhuru Kenyatta kuhusu masuala ya uhusiano wa pande mbili.

  • Mgogoro wa kisiasa nchini Kenya

    Mgogoro wa kisiasa nchini Kenya

    Jun 22, 2016 03:19

    Wabunge wanane wa Kenya ambao walituhumiwa kwa kutoa matamshi ya uchochezi dhidi ya usalama wa taifa wameachiliwa huru kwa masharti.

  • Dunia yaipongeza Kenya kwa kupunguza uharamia Afrika Mashariki

    Dunia yaipongeza Kenya kwa kupunguza uharamia Afrika Mashariki

    Jun 18, 2016 09:25

    Hatua ya Kenya kutuma jeshi lake nchini Somalia imechangia kupunguza kwa kiasi kikubwa uharamia katika pwani ya Bahari ya Hindi Afrika Mashariki.

  • Kuendelea radiamali za kutiwa mbaroni wanasiasa nchini Kenya

    Kuendelea radiamali za kutiwa mbaroni wanasiasa nchini Kenya

    Jun 18, 2016 06:47

    Hatua ya polisi ya Kenya ya kuwatia nguvu wanasiasa kadhaa kwa tuhuma za kuchochea machafuko na chuki za kikabila imepokewa kwa hisia tofauti, huku sauti ya chama cha ODM ikiwa kali zaidi kupinga zoezi hilo. Mwandishi wa Radio Tehran wa Mombasa Kenya na ripoti zaidi...

  • ICC: Tunafuatilia karibu matukio ya kisiasa nchini Kenya

    ICC: Tunafuatilia karibu matukio ya kisiasa nchini Kenya

    Jun 18, 2016 03:37

    Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imesema inafuatilia kwa karibu matukio ya kisiasa yanayojiri hivi sasa nchini Kenya na imetoa indhari kuwa haitachelea kufungua kesi mpya dhidi ya watenda jinai iwapo nchi hiyo itatumbukia tena katika machafuko ya baada ya uchaguzi kama ya mwaka 2007/2008.

  • Polisi Kenya wawasaili wanasiasa wanatoa matamshi ya chuki

    Polisi Kenya wawasaili wanasiasa wanatoa matamshi ya chuki

    Jun 14, 2016 09:49

    Polisi nchini Kenya wamewasailia wanasiasa saba wapinzani na wanaounga mkono serikali kwa kosa la kutoa matamshi ya chuki huku uhasama wa kisiasa ukishika kasi nchini humo mwaka mmoja kabla ya uchaguzi mkuu.

  • UNHCR: Muda zaidi unahitajika kuwahamisha wakimbizi Wasomali nchini Kenya

    UNHCR: Muda zaidi unahitajika kuwahamisha wakimbizi Wasomali nchini Kenya

    Jun 13, 2016 22:39

    Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) Filippo Grandi, amesema serikali ya Kenya inapaswa kulegeza msimamo wake kuhusu muda wa mwisho iliotoa kwa ajili ya kuwarejesha makwao wakimbizi wapatao 350,000 Wasomali walioko nchini humo.

  • Kenya kuwa makao makuu ya Kituo cha Udhibiti wa Magonjwa cha Afrika Mashariki

    Kenya kuwa makao makuu ya Kituo cha Udhibiti wa Magonjwa cha Afrika Mashariki

    Jun 12, 2016 00:00

    Kenya imeteuliwa kuwa makao makuu ya kanda ya Kituo cha Kuratibu Udhibti wa Magonjwa Afrika, CDC-Africa, ili kufuatilia afya ya umma na changamoto katika nchi za Afrika Mashariki.

  • Serikali ya Kenya yaainisha muda wa kuondoka wakimbizi katika kambi ya Daadab

    Serikali ya Kenya yaainisha muda wa kuondoka wakimbizi katika kambi ya Daadab

    Jun 11, 2016 23:12

    Serikali ya Kenya imeainisha muhula wa kuondoka maelfu ya wakimbizi wanaoishi kwenye kambi ya Dadaab nchini humo.

  • Muungano wa CORD: Maandamano yako pale pale kila Jumatatu na Alkhamis Kenya

    Muungano wa CORD: Maandamano yako pale pale kila Jumatatu na Alkhamis Kenya

    Jun 10, 2016 23:52

    Muungano wa Cord nchini Kenya umetangaza kuandaa maandamano mapya siku ya Jumatatu na Alhamisi ijayo licha ya kuendelea juhudi za mazungumzo kati yake na serikali kuhusu utata unaohusu Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS