-
Al-Shabaab: Tumeua wanajeshi 73 wa Somalia, Lower Shabelle
Mar 21, 2016 11:45Kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab limedai kuwaua askari 73 wa jeshi la taifa la Somalia, katika makabiliano makali yaliyotokea jana huko Shabelle ya Chini, yapata kilomita 60 kusini mwa mji mkuu, Mogadishu.
-
Jeshi la Kenya laua magaidi 34 wa al-Shabab Somalia-MPYA UPDATE 2
Mar 20, 2016 12:22Jeshi la Kenya limewaangamiza magaidi 21 wa kundi la kitakfiri la al Shabab kufuatia mapigano makali katika nchi jirani ya Somalia.
-
Magaidi 19 wa al Shabab wauawa Somalia
Mar 17, 2016 03:48Jeshi la Kenya limetangaza kuwa wapiganaji 19 wa kund la kigaidi la al Shabab wameuawa huko kusini mwa Somalia.
-
Polisi wa Uganda wawazuia raia wa Kenya waishio kisiwa cha Migingo kutumia simu za mikononi
Mar 14, 2016 23:29Duru za habari nchini Kenya zimeripoti kuwa, polisi wa kisiwa cha Migingo kinachodhibitiwa na Uganda, wamepiga marufuku Wakenya wanaoishi katika kisiwa hicho kuwasiliana kwa simu.
-
Theluthi moja ya bajeti ya Kenya inapotea kwa ufisadi
Mar 10, 2016 13:11Mkuu mpya wa Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi nchini Kenya (EACC) amesema theluthi moja ya bajeti ya nchi hiyo inapotea kutokana na ufisadi.
-
Mhubiri Mkristo Mmarekani aliyewanyanyasa mayatima kingono huko Kenya afungwa
Mar 08, 2016 11:18Mhubiri Mkristo wa Marekani amehukumiwa miaka 40 jela kwa kuwanyanyasa kingono watoto katika kituo kimoja cha mayatima chini Kenya.
-
Waliojaribu kuingiza bomu kambi ya GSU Kenya wakamatwa
Mar 02, 2016 23:37Vyombo vya usalama nchini Kenya vimesema vinawashikilia watu wawili akiwemo afisa wa zamani wa polisi kwa tuhuma za kujaribu kuingiza bomu kwenye kambi ya polisi wa kuzima fujo (GSU) wakati wa hafla za mahafali ambapo Rais Uhuru Kenyatta ndiye aliyekuwa mgeni wa heshima.
-
Kenya yatangaza hali ya tahadhari
Mar 01, 2016 08:42Kenya imetangaza hali ya tahadhari kutokana na wasiwasi wa uwezekano wa kutokea mashambulio ya kigaidi katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki.
-
Nchi za Afrika Mashariki kupiga marufuku mitumba
Feb 27, 2016 22:59Viongozi wa nchi za Afrika Mashariki watakutana Arusha, Tanzania Jumatano ijayo kujadili upigaji marufuku uingizaji wa nguo zilizotumika au mitumba, magari yaliyotumika na bidhaa za ngozi kutoka nje ya eneo eneo hilo.
-
Wapalestina wamkosoa Kenyatta kwa kutembelea Israel
Feb 26, 2016 12:45Maafisa wa serikali ya Palestina wamemkosoa Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kwa kutembelea vitongoji haramu huko Israel katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.