-
Jaribio la kwanza la kurusha roketi anga za juu barani Ulaya lafeli
Mar 31, 2025 11:40Roketi la anga za juu la Ulaya limelipuka muda mfupi tu baada ya kuzinduliwa.
-
Russia: Marekani na Uingereza zinaeneza machafuko ndani ya Syria kupitia magenge ya kigaidi
Nov 29, 2024 11:41Russia imesema madola makubwa ya Magharibi yanayoongozwa na Marekani yanaendelea na vitendo vyao vya chuki dhidi ya Syria kwa kuwaunga mkono wanamgambo wanaoipinga serikali ya Damascus pamoja na makundi ya kigaidi ya kitakfiri katika kila pembe ya nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Alkhamisi, tarehe 3 Oktoba, 2024
Oct 03, 2024 02:16Leo ni Alkhamisi tarehe 29 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1446 Hijria sawa na Oktoba 3 mwaka 2024.
-
Iran yakanusha madai ya Magharibi: Hatujaipatia Russia makombora yoyote ya balestiki
Sep 07, 2024 11:53Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekanusha madai kwamba inaipatia Russia makombora ya balestiki na kusisitiza kuwa madai hayo yanayotolewa na Marekani na washirika wake wa Magharibi ni ya upotoshaji na hayana msingi wowote.
-
Mashambulio ya Hizbullah ya Lebanon katika vitongoji vya walowezi wa Kizayuni
Jul 18, 2024 09:38Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Lebanon Hizbullah imetangaza kufanya shambulio la makombora katika vitongoji vya walowezi wa Kizayuni kaskazini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Video na Picha za kombora la hypersonic la Yemen lililopiga meli ya Israel
Jun 27, 2024 06:26Vikosi vya Ulinzi vya Yemen vimesambaza video na picha zinazoonyesha kombora la balestiki la hypersonic la vikosi majeshi ya nchi hiyo lililotumika kupiga meli ya utawala wa Kizayuni katika Bahari Nyekundu au Bahari ya Sham.
-
Ukraine yakanusha uvumi kwamba Iran imeiuzia Russia makombora ya balestiki
Feb 26, 2024 11:47Mkuu wa Idara ya Intelijensia ya Jeshi la Ukraine amekadhibisha uvumi kwamba Iran imeiuzia Russia makombora ya balestiki kwa ajili ya kutumika katika vita vya Ukraine.
-
Kuzinduliwa mifumo mipya ya makombora nchini Iran
Feb 19, 2024 04:33Katika kuendelea ustawi wa Jamhuri ya Kiislamu katika sekta ya makombora, mifumo dhidi ya makombora ya balestiki kwa jina la "Arman", na mfumo wa ulinzi wa anga ya juu wa Azarkhash, ambao uliundwa kwa juhudi za wataalamu wa Wizara ya Ulinzi ya Iran ulizinduliwa juzi Jumamosi.
-
Wanajeshi 560 wa Israel wameshaangamizwa hadi hivi sasa Ghaza
Feb 01, 2024 07:14Jeshi la utawala wa Kizayuni ambalo ni maarufu kwa kuchuja mno habari limesema katika taarifa yake ya jana kwamba, hadi hivi sasa wanajeshi 560 wa Israel wameshaangamizwa tangu vilipoanza vita vya Ghaza, tarehe 7 Oktoba, 2023.
-
New York Times: Iran imetuma ujumbe kwa Israel kwa kombora la Khaybar-Shekan
Jan 20, 2024 12:34Gazeti la Marekani la New York Times limelitaja shambulio la hivi karibuni la makombora ya Iran dhidi ya ngome za kundi la kigaidi la Daesh (ISIS) nchini Syria kwa kutumia kombora la kisasa la "Khaybar Shekan" kuwa sio tu ni kulipiza kisasi dhidi ya ISIS bali pia ni onyesho la nguvu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran dhidi ya kambi ya Magharibi na hasa utawala wa Kizayuni wa Israel.