-
Jumanne tarehe 3 Oktoba 2023
Oct 03, 2023 02:42Leo ni Jumanne tarehe 17 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1445 Hijria sawa na Oktoba 3 mwaka 2023.
-
Adimeri Kaviani: Vyombo vya majini vya Jeshi vitabeba Kombora la Abu Mahdi
Jul 25, 2023 07:47Naibu Kamanda wa Jeshi la Wanamaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: maslahi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yatalindwa katika eneo la kaskazini la Bahari ya Hindi na maji huru ya kimataifa baada ya vyombo vya jeshi kusheheniwa kwa kombora la Abu Mahdi.
-
HAMAS yafanyia majaribio kombora lake jipya Ukanda wa Gaza
Jun 27, 2023 07:38Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imefanyia majaribio kombora lake jipya katika Ukanda wa Gaza.
-
Kombora la Hypersonic la Fattah; matunda ya kimapinduzi na uainishaji hatima katika vita vya kisasa
Jun 07, 2023 01:23Jumanane ya jana tarehe 6 Juni, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ilizindua kombora lake la kwanza la balistiki la Hypersonic lililopewa jina la 'Fattah'.
-
Korea Kaskazini yaonyesha makombora mapya ya kuvuka mabara ya ICBM
Feb 09, 2023 11:59Korea Kaskazini imeonyesha makombora yake mapya ya kisasa kabisa ya balestiki, yenye uwezo wa kuvuka mabara ya ICBM.
-
Pyongyang yavurumisha tena makombora ya balestiki kujibu chokochoko za US
Oct 06, 2022 07:04Kwa mara nyingine tena, Korea Kaskazini imefyatua makombora yake ya balestiki kuelekea upande wa Japan, kujibu chokochoko mpya za Marekani dhidi ya Pyongyang.
-
Korea Kaskazini yafyatua kombora la balestiki kuelekea Japan
Oct 04, 2022 07:51Korea Kaskazini imefyatua kombora lake la balestiki kuelekea upande wa Japan, na kupelekea kusitishwa kwa usafiri wa treni katika baadhi ya maeneo, huku Wajapani katika maeneo ya kaskazini wakitakiwa kujificha.
-
Jenerali Hajizadeh: Leo tunauza nje ya nchi makombora na ndege zisizo na rubani
Aug 23, 2022 08:01Kamanda wa Kikosi cha Anga za Mbali cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC amesema: "huko nyuma, sisi hatukuwa na wowote kati ya uwezo tulionao leo hii, na hivi sasa tunauza nje ya nchi makombora na ndege zisizo na rubani.
-
Wazayuni: Jihad al Islami imeweka tayari zaidi ya makombora 3000 yakisubiri kufyatuliwa tu
Aug 06, 2022 03:52Duru za Kizayuni zimedai kuwa, Harakati ya Jihad al Islami ya Palestina imeweka tayari kwa ajili ya kufyatuliwa makombora zaidi 3000 baada ya kiongozi wake mmoja kukamatwa katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Wanamuqawama wa Palestina Gaza wafanyia majaribio makombora yao
Jun 12, 2022 07:53Duru za kiusalama huko Palestina zimedokeza kuwa, vikosi vya muqawama vya nchi hiyo vimefanyia majaribio makombora yao katika fukwe za Ukanda wa Gaza.