-
Kuendelea siasa za mashinikizo ya Marekani dhidi ya Korea Kaskazini
Jul 22, 2018 09:16Ikiwa ni karibu mwezi mmoja umepita tangu Rais Donald Trump na Kim Jong-un wa Korea Kaskazini wakutane nchini Singapore, Mike Pompeo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amesema kuwa, kabla ya kujadiliwa suala la kuondolewa vikwazo dhidi ya Pyongyang, nchi hiyo inatakiwa ipige hatua za kivitendo na kwamba kabla ya hatua hizo kupigwa, mashinikizo zaidi dhidi ya Korea Kaskazini yataongezeka.
-
China na Russia zapinga takwa la Marekani la kutoiuzia mafuta Korea Kaskazini
Jul 20, 2018 03:48Duru za habari zimearifu kwamba China na Russia zimetupilia mbali pendekezo la Marekani kwa ajili ya kuzuia uuzaji mafuta kwa Korea Kaskazini.
-
Mike Pompeo: Vikwazo vya Marekani dhidi ya Korea Kaskazini vitaendelea
Jul 19, 2018 02:54Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amesema kuwa kufikiwa makubaliano kamili ya nyuklia kati ya nchi yake na Korea Kaskazini, kutategemea muda mrefu na kwamba katika kipindi hicho vikwazo vya Washington dhidi ya Pyongyang vitaendelea kuwepo.
-
Mazungumzo kati ya viongozi wa kijeshi wa Marekani na Korea ya Kaskazini
Jul 16, 2018 22:26Wanajeshi wa ngazi ya juu wa Marekani na Korea Kaskazini kwa mara ya kwanza katika muda wa miaka 9 iliyopita wamekutana na kufanya mazungumzo kuhusu kurejesha mabaki ya miili ya wanajeshi wa Marekani waliouawa katika vita baina ya Korea mbili.
-
Kuongezeka ukosolewaji wa siasa za Trump kuhusiana na suala la Korea Kaskazini
Jul 09, 2018 21:53Sambamba na kuanza tena vita vya maneno kati ya Marekani na Korea Kaskazini, ukosolewaji wa siasa za Rais Donald Trump kuhusiana na jinsi amekuwa akiamiliana na Korea Kaskizini umekuwa ukiongezeka.
-
Korea Kaskazini kuikabidhi Uturuki mabaki ya miili ya askari 500 wa nchi hiyo
Jun 25, 2018 23:53Serikali ya Korea Kaskazini imetangaza kwamba itaikabidhi Uturuki mabaki ya miili ya askari wa nchi hiyo waliouawa katika vita vya eneo la Korea.
-
Jumatatu tarehe 25 Juni, 2018
Jun 25, 2018 03:23Leo ni Jumatatu tarehe 11 Shawwal 1439 Hijria sawa na tarehe 25 Juni 2018.
-
Akthari ya Wamarekani hawana imani na sera za Trump kuhusiana na Korea Kaskazini
Jun 18, 2018 10:42Matokeo ya uchunguzi wa maoni uliofanywa nchini Marekani yanaonyesha kuwa akthari ya Wamarekani hawana imani na sera za rais wa nchi hiyo kuhusiana na Korea Kaskazini.
-
Pompeo: Vikwazo dhidi ya Korea Kaskazini vitaendelea hadi nchi hiyo iangamize silaha zake za nyuklia
Jun 15, 2018 03:06Kwa mara nyingine Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Mike Pompeo ametupilia mbali taarifa inayohusiana na mazungumzo kati ya nchi yake na Korea Kaskazini na kusema kuwa vikwazo dhidi ya nchi hiyo vitaendelea kuwepo.
-
Korea Kaskazini yakerwa na matamshi machafu ya Netanyahu dhidi ya Iran
Jun 11, 2018 23:47Waziri wa Mambo ya Nje wa Korea Kaskazini ametoa radiamali kuhusiana na pendekezo la kejeli la Waziri Mkuu wa Utawala haramu wa Kizayuni kuhusu kuipa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran teknolojia ya kukabiliana na uhaba wa maji na kusema kuwa, Benjamin Netanyahu ni mtenda jinai na muongo mkubwa.