-
Korea Kaskazini: Marekani inachafua anga ya mazungumzo kwa kueneza uwongo
May 06, 2018 03:02Wiki chache kabla ya kufanyika mazungumzo yanayosubiriwa kwa shauku kuu kati ya Rais Donald Trump wa Marekani na kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un, Pyongyang imekosoa vikali kile ilichokitaja kama upotoshaji wa makusudi wa Washington, kwamba sera za Trump za kushadidisha vikwazo na mashinikizo ya kisiasa dhidi ya nchi hiyo ndizo zilizopelekea Korea Kaskazini kukubali kwenda katika meza ya mazungumzo.
-
Hatimaye Korea Kaskazini yakubali kuangamiza makombora yake ya balestiki
May 03, 2018 10:01Serikali ya Korea Kaskazini sambamba na kukubali kuangamiza makombora yake ya kutoka bara hadi bara ya balestiki, imekubali pia kutumwa wataalamu wa kimataifa kwenda kukagua taasisi za nyuklia za nchi hiyo.
-
Korea ya Kaskazini yakadhibisha madai ya Marekani
May 03, 2018 03:18Ofisi ya Uwakilishi ya Korea ya Kaskazini katika Umoja wa Mataifa imekadhibisha tuhuama za Marekani dhidi ya Pyong Yang kuhusu kuhakiwa vituo vya taarifa vya kamati za vikwazo za Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
-
Iran yazipongeza Korea 2, yaonya juu ya uchochezi wa US
Apr 28, 2018 03:16Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imepongeza jitihada za viongozi wa Korea Kusini na Korea Kaskazini za kutaka kupunguza taharuki katika Peninsula ya Korea sanjari na kuufanya wa kawaida uhusiano wao uliokuwa umevunjika kwa miongo kadhaa.
-
Viongozi wa Korea mbili wakutana katika tukio la kihistoria
Apr 26, 2018 23:59Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un na mwenzake wa Korea Kusini, Moon Jae-in wamekutana na kufanya mazungumzo mapema leo Ijumaa katika kijiji cha Panmunjom kwenye eneo la mpaka wa nchi hizo mbili la Demilitarized. Mazungumzo haya yanatajwa kuwa ya kihistoria.
-
Korea Kusini yasitisha programu ya kueneza propaganda dhidi ya Korea Kaskazini
Apr 24, 2018 02:59Serikali ya Korea Kusini imetangaza kusimamisha programu ya kueneza propaganda mbaya dhidi ya jirani yake Korea Kaskazini.
-
Viongozi wa Korea mbili wafungua njia ya mawasiliano ya moja kwa moja kati yao
Apr 20, 2018 09:31Msemaji wa Ikulu ya Rais nchini Korea Kusini, ametangaza habari ya kufunguliwa njia ya moja kwa moja ya mawasiliano kati ya Rais Moon Jae-in na Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un.
-
Uungaji mkono wa Korea Kaskazini kwa makubaliano ya nyuklia ya Iran (JCPOA)
Apr 19, 2018 05:51Serikali ya Korea Kaskazini imeyataja makubaliano ya nyuklia yanayofahamika kwa jina la Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA), kuwa ni makubaliano muhimu ya kimataifa kati ya Iran na kundi la 5+1, na kutangaza kuwa inaunga mkono makubaliano hayo yaendelee kutekelezwa.
-
Radiamali ya Korea Kaskazini dhidi ya uwepo wa kijeshi wa Uingereza katika Peninsula ya Korea
Apr 17, 2018 20:54Korea Kaskazini imesema kuwa hatua ya Uingereza kutuma manowari zake katika Peninsula ya Korea ni sawa na kutangaza vita dhidi ya nchi hiyo.
-
Korea Kaskazini: Marekani iache vitisho vya kujiondoa katika makubaliano ya JCPOA
Apr 17, 2018 09:58Serikali ya Korea Kaskazini sambamba na kuunga mkono Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) na kuyataja kuwa makubaliano ya kimataifa na muhimu zaidi kati ya Iran na kundi la 5+1, imeikosoa mwenendo wa serikali ya Marekani wa kuendelea kutishia kujitoa katika makubaliano hayo.