Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Korea Kaskazini

  • US yaanzisha tena chokochoko katika Peninsula ya Korea

    US yaanzisha tena chokochoko katika Peninsula ya Korea

    Oct 11, 2017 04:49

    Kwa mara nyingine tena Marekani imefanya maneva ya kijeshi kwa kushirikiana na Korea Kusini na Japan katika Peninsula Korea.

  • Uingereza yajipanga kupigana na Korea ya Kaskazini

    Uingereza yajipanga kupigana na Korea ya Kaskazini

    Oct 09, 2017 23:37

    Gazeti moja linalochapishwa nchini Uingereza limeashiria kupamba moto mivutano ya maneno kati ya Marekani na Korea ya Kaskazini na kuandika kuwa Uingereza yenyewe inajiandaa kuhusu uwezekano wa kujiri vita kati yake na Pyongyang.

  • Kim Jong-un: Vikwazo vya UNSC havitaizuia Korea Kaskazini kuendelea kuunda silaha zake

    Kim Jong-un: Vikwazo vya UNSC havitaizuia Korea Kaskazini kuendelea kuunda silaha zake

    Oct 09, 2017 11:30

    Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un amesema kuwa nchi yake itaendelea kujiimarisha kwa silaha za nyuklia na makombora ya balestiki ya kuvuka mabara.

  • Obama: Diplomasia ni njia bora zaidi ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Peninsula ya Korea

    Obama: Diplomasia ni njia bora zaidi ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Peninsula ya Korea

    Oct 06, 2017 04:31

    Rais msataafu wa Marekani, Barack Obama amesema kuwa udiplomasia ndiyo njia bora zaidi ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Peninsula ya Korea na si nguvu ya kijeshi.

  • Russia yatahadharisha kuhusu kuongezeka mivutano kati ya Magharibi  na Korea ya Kaskazini

    Russia yatahadharisha kuhusu kuongezeka mivutano kati ya Magharibi na Korea ya Kaskazini

    Oct 05, 2017 00:46

    Rais Vladimir Putin wa Russia ametahadharisha kuhusu kuongezeka mivutano kati ya Magharibi na Korea Kaskazini.

  • Korea Kaskazini: Mkataba wa kijeshi wa Marekani na Korea Kusini, ni njama dhidi ya Pyongyang

    Korea Kaskazini: Mkataba wa kijeshi wa Marekani na Korea Kusini, ni njama dhidi ya Pyongyang

    Oct 03, 2017 01:32

    Serikali ya Korea Kaskazini imeutaja mkataba wa kijeshi kati ya Marekani na Korea Kusini kuwa ni njama ya kutaka kuishambulia nchi hiyo.

  • Trump: Tillerson 'anapoteza muda wake' kujaribu kuzungumza na Korea Kaskazini, tutafanya kinachopasa kufanywa!

    Trump: Tillerson 'anapoteza muda wake' kujaribu kuzungumza na Korea Kaskazini, tutafanya kinachopasa kufanywa!

    Oct 02, 2017 00:56

    Rais Donald Trump wa Marekani amesema mazungumzo ya moja kwa moja na Korea Kaskazini hayatoupatia utatuzi mkwamo wa kadhia ya nyuklia ya Pyongyang na kusisitiza kwamba waziri wake wa Mambo ya Nje Rex Tillerson "anapoteza muda wake" kutaka kufanya mazungumzo na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un.

  • Korea Kaskazini: Yataka kutumiwa njia za amani badala ya za kijeshi kudumisha usalama katika eneo

    Korea Kaskazini: Yataka kutumiwa njia za amani badala ya za kijeshi kudumisha usalama katika eneo

    Sep 30, 2017 01:22

    Serikali ya Korea Kaskazini imesema ili kuhitimisha mgogoro wa eneo la Peninsula ya Korea, kuna haja ya kuwekwa kando mipango ya kijeshi na kushikamana na mfumo wa amani.

  • Russia kufanya mazungumzo na Korea Kaskazini

    Russia kufanya mazungumzo na Korea Kaskazini

    Sep 27, 2017 06:28

    Afisa mmoja wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema kuwa, Moscow imepanga kuanza mazungumzo ya kisiasa na Korea Kaskazini kwa ajili ya kupunguza mivutano na hofu katika rasi ya Korea.

  • Wananchi wa Marekani wanapinga kushambuliwa kijeshi Korea ya Kaskazini

    Wananchi wa Marekani wanapinga kushambuliwa kijeshi Korea ya Kaskazini

    Sep 25, 2017 23:19

    Uchunguzi wa maoni uliofanywa hivi karibuni nchini Marekani unaonyesha kuwa aghalabu ya wananchi wanapinga kushambuliwa kijeshi Korea ya Kaskazini.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS