-
Korea Kaskazini yakosoa msaada wa silaha za Marekani kwa Taiwan
Aug 04, 2023 04:21Korea Kaskazini imekosoa vikali hatua ya Marekani ya kuipa Taiwan msaada wa silaha wa mamilioni ya dola ikisisitiza kuwa, Washington inakitumia kisiwa hicho kinachojitawala kushadidisha taharuki na kuchochea moto wa vita katika eneo.
-
Korea Kaskazini yavurumisha makombora kujibu uchokozi wa Marekani
Jul 19, 2023 06:39Korea Kaskazini imevurumisha makombora mawili ya balestiki kuelekea Bahari ya Mashariki kujibu chokochoko za Marekani.
-
Kuendelea harakati hatari za kijeshi za Marekani barani Asia
Jun 18, 2023 06:56Sera hatari za kijeshi na za kichochezi za Marekani katika bara kubwa duniani yaani bara la Asia zingali zinaendelea.
-
Dada wa Kiongozi wa Koreka Kaskazini amuita Biden 'mzee asiye na mustakabali'
Apr 29, 2023 22:40Korea Kaskazini imemtuhumu Rais wa Marekani Joe Biden kwamba hana akili timamu baada ya kutishia kuiangamiza nchi hiyo iwapo itafanya shambulio la nyuklia na kuishutumu Marekani kwa ilichokiita sera "zilizofurutu mpaka" na za "uhasama".
-
Korea Kaskazini yafanyia majaribio droni yenye uwezo wa kufanya shambulio la nyuklia baharini
Mar 24, 2023 22:49Korea Kaskazini imeifanyia majaribio ndege mpya isiyo na rubani ya droni inayoweza kufanya mashambulizi ya nyuklia chini ya maji, likiwa ni jibu la kukabiliana na mazoezi ya pamoja ya kijeshi ya Marekani na Korea Kusini.
-
Korea Kaskazini: Hatari ya kutokea vita vya nyuklia imebadilika kutoka nadharia na kuwa uhalisia
Mar 09, 2023 03:11Korea Kaskazini imeonya kuhusu kile ilichokitaja kama hatari "halisi" ya kutokea vita vya nyuklia katika ukanda na dunia nzima, kufuatia duru mpya ya mazoezi ya pamoja ya kijeshi kati ya Korea Kusini na Marekani.
-
Korea Kaskazini yaonyesha makombora mapya ya kuvuka mabara ya ICBM
Feb 09, 2023 08:29Korea Kaskazini imeonyesha makombora yake mapya ya kisasa kabisa ya balestiki, yenye uwezo wa kuvuka mabara ya ICBM.
-
Korea Kaskazini kuongeza kiwango cha silaha za nyuklia kukabili tishio la US
Jan 01, 2023 03:49Kiongozi wa Korea Kaskazini ametoa amri ya kuzalishwa makombora mapya ya balestiki ya kuvuka mabara, sambamba na kuongezwa kiwango cha silaha za nyuklia za 'kimkakati' kwa ajili ya kukabiliana na tishio la Marekani.
-
Indhari ya Rais wa Venezuela kuhusu kufikia ubeberu wa Marekani katika hatua hatarishi zaidi
Dec 27, 2022 22:27Rais Nicolas Maduro wa Venezuela ametahadharisha kuwa ubeberu wa Marekani umeingia katika hatua hatarishi zaidi na unajaribu kufanya kila njia ili kuzusha mapigano na kuwasha moto wa vita duniani.
-
Kiongozi wa Korea Kaskazini: Tutatumia silaha za atomiki kujibu vitisho vya atomiki
Nov 19, 2022 03:42Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-Un ameionya Marekani kuwa nchi yake itajibu vitisho vya atomiki kwa silaha za atomiki na makabiliano kwa makabiliano dhidi yake.