-
Korea Kusini yalazimika kufunga skuli 4,000 kwa kukosekana wanafunzi
Dec 29, 2025 03:19Wizara ya Elimu ya Korea Kusini imetangaza kuwa, skuli 4,008 za msingi, za kati na sekondari zimefungwa kote nchini humo kutokana na kupungua kwa kasi idadi ya wanafunzi, huku mamia ya taasisi za elimu na mafunzo zikibaki bila ya matumizi.
-
Leo ni Ijumaa tarehe 15 Agosti 2025
Aug 15, 2025 02:25Leo ni Ijumaa tarehe 21 Safar 1447 Hijria inayosadifiana na Agosti 15 mwaka 2025.
-
Hatimaye Rais wa Korea Kusini aliyeuzuliwa akamatwa, tukio la kwanza katika historia ya nchi hiyo
Jan 15, 2025 11:23Rais wa Korea Kusini Yoon Suk-yeol ametiwa mbaroni kwa jaribio lake lililofeli la kuweka sheria ya kijeshi, baada ya mamia ya maafisa wa kupambana na ufisadi na polisi kuvamia makazi yake na kuhitimisha mzozo uliodumu kwa wiki kadhaa.
-
Jumatatu, Disemba 02, 2024
Dec 02, 2024 03:05Leo ni Jumatatu tarehe 30 Mfunguo Nane Jamadul-Awwal 1446 Hijria, mwafaka na tarehe Pili Disemba 2024.
-
Alkhamisi, tarehe 15 Agosti, 2024
Aug 15, 2024 02:43Leo ni Alkhamisi tarehe 10 Safar 1446 Hijria inayosadifiana na Agosti 15 mwaka 2024.
-
Bunge la Korea Kusini lapitisha sheria inayopiga marufuku ulaji wa nyama ya mbwa
Jan 10, 2024 06:18Bunge la Korea Kusini limepiga kura kupitisha sheria inayopiga marufuku uuzaji na ulaji wa nyama ya mbwa, ambao uliwahi kuwa mwenendo uliozoeleka na kuenea sana katika nchi hiyo ya Asia Mashariki.
-
Manuva ya pande tatu ya Korea Kusini, Japan na Marekani
Dec 22, 2023 09:28Korea Kusini, Japan na Marekani zimefanya manuva ya pamoja ya anga. Inasemekana kuwa zoezi hilo la kijeshi limefanyika katika kujibu jaribio la kombora la masafa marefu lililofanywa hivi karibuni na Korea Kaskazini katika anga ya Peninsula ya Korea.
-
Korea Kaskazini yatishia kuishambulia manowari ya kubebea ndege za kivita ya Marekani
Oct 15, 2023 02:32Korea Kaskazini imeitishia Marekani kwamba itaanzisha "shambulio kali zaidi na la haraka zaidi la kujikinga" dhidi ya zana za kijeshi za nchi hiyo, ikiwa ni pamoja na meli yake ya kivita ya nyuklia iliyoko kwenye maji ya Peninsula ya Korea.
-
Jumanne, tarehe 15 Agosti, 2023
Aug 15, 2023 02:25Leo ni Jumanne tarehe 28 Muharram 1445 Hijria inayosadifiana na Agosti 15 mwaka 2023.
-
Kuendelea harakati hatari za kijeshi za Marekani barani Asia
Jun 18, 2023 10:26Sera hatari za kijeshi na za kichochezi za Marekani katika bara kubwa duniani yaani bara la Asia zingali zinaendelea.