-
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran yalaani kuuawa shahidi Sayyad Khodaei
May 23, 2022 03:12Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema maadui wa mfumo mtakatifu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa mara nyingine tena wamedhihirisha dhati ya shari yao kwa ugaidi na kumuua shahidi mmoja kati ya askari wa Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC).
-
Jinai mpya ya Wazayuni! Wamuua shahidi mwandishi wa al Jazeera kwa damu baridi kabisa!
May 11, 2022 03:16Wanajeshi makatili wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamefanya jinai nyingine ya kumuua kikatili na kidhulma, kwa damu baridi kabisa na kutokea nyuma, mwandishi mashuhuri na nguli wa televisheni ya al Jazeera, Shirin Abu Akleh alipokuwa katikati ya kazi zake kwenye kambi ya Jenin.
-
Zaidi ya Wapalestina 50 wameshauliwa shahidi na Wazayuni tangu mwezi Januari 2022
May 03, 2022 22:06Kituo cha Takwimu cha Palestina kimetoa ripoti maalumu na kusema kuwa, tangu mwezi Januari mwaka huu wa 2022 hadi hivi sasa, utawala wa Kizayuni wa Israel umeshawaua shahidi Wapalestina zaidi ya 50.
-
Mkuu wa Muungano wa al-Fat-h: Wairaqi wana deni kubwa kwa Kamanda Qasem Soleimani
Dec 27, 2021 23:15Mkuu wa Muungano wa kisiasa wa al Fat-h nchini Iraq amesema, Wairaqi wana deni kubwa kwa Shahidi Qasem Soleimani na Shahidi Abu Mahdi al Muhandis.
-
Shirika la kutetea haki za watoto: 2021, ni mwaka waliouliwa watoto wengi zaidi wa Palestina
Dec 15, 2021 23:57Shirika moja la kutetea haki za watoto limesema, tokea 2014 hadi sasa, mwaka huu wa 2021 ndio ulioshuhudia umwagaji mkubwa zaidi wa damu za watoto wa Palestina.
-
Jihad Islami yatilia mkazo kuendelezwa mapambano dhidi ya utawala ghasibu wa Israel
Dec 11, 2021 06:43Harakati ya Jihad Islami ya Palestina imemesisitiza udharura wa kudumishwa mapambano dhidi ya utawala haramu wa Israel.
-
Leo Ijumaa, ni siku ya kukumbuka kuuawa shahidi Imam Askari AS
Oct 15, 2021 00:52Ijumaa ya leo inayosadifiana na mwezi 8 Mfunguo Sita 1443 Hijria ni siku ya kukumbuka kuuawa shahidi Imam Hasan al Askari, Imam wa 11 wa Waislamu wa Kishia duniani.
-
Kumbukizi ya kuuawa shahidi Imam Muhammad Baqir (as)
Jul 18, 2021 01:01Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio kipindi hiki maalum kinachokujieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku aliyouawa shahidi Imam Muhammad Baqir AS mmoja wa Maimamu watoharifu kutoka katika kizazi cha Bwana Mtume SAW.
-
Wananchi Bahrain waandamana kulaani kifo cha mfungwa wa kisiasa gerezani
Jun 11, 2021 08:00Mamia ya Wabahraini wamejitokeza kuandamana katika mji mkuu Manama, kumkumbuka mfungwa wa kisiasa ambaye amefariki dunia kutokana na COVID-19 akiwa katika gereza la kuogofya la utawala wa kiimla wa Aal Khalifa.
-
Polisi wa utawala wa Kizayuni wawaua shahidi kwa kuwapiga risasi vijana wawili Wapalestina
Feb 02, 2021 04:02Polisi wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wamewaua shahidi kwa kuwapiga risasi vijana wawili Wapalestina baada ya kuvamia eneo moja katika mji Tamra kaskazini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu.