Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

kufa shahidi - kuuawa shahidi

  • Wanajeshi wa Israel wamuua shahidi Mpalestina katika Ukingo wa Magharibi

    Wanajeshi wa Israel wamuua shahidi Mpalestina katika Ukingo wa Magharibi

    Jan 27, 2021 00:55

    Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamempiga risasi na kumuua shahid kijana Mpalestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.

  • Kiongozi Muadhamu: Watieni adabu waliofanya na kuamrisha jinai ya kuuliwa kigaidi shahid Fakhrizadeh

    Kiongozi Muadhamu: Watieni adabu waliofanya na kuamrisha jinai ya kuuliwa kigaidi shahid Fakhrizadeh

    Nov 28, 2020 06:12

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametilia mkazo wajibu wa kutiwa adabu na kupewa adhabu isiyoepukika wote waliofanya na kuamrisha mauaji ya kigaidi ya mwanasayansi wa Kiirani, Dk. Mohsen Fakhrizadeh.

  • Wapalestina 3 wauawa shahidi na jeshi katili la Israel

    Wapalestina 3 wauawa shahidi na jeshi katili la Israel

    Nov 02, 2020 00:52

    Vijana watatu wa Kipalestina wameuawa shahidi kwa kupigwa risasi na wanajeshi katili wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika eneo la al-Jalil, kaskazini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu.

  • Wapalestina 27 wauawa shahidi miezi sita ya kwanza mwaka 2020

    Wapalestina 27 wauawa shahidi miezi sita ya kwanza mwaka 2020

    Jul 27, 2020 02:54

    Wapalestina 27 wameuawa shahidi kwa kupigwa risasi na wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika nusu ya kwanza ya mwaka huu wa 2020.

  • Umati mkubwa wa Wairaqi wakusanyika mahali walipouawa shahidi Qassem Soleimani na Abu Mahdi al-Muhandis

    Umati mkubwa wa Wairaqi wakusanyika mahali walipouawa shahidi Qassem Soleimani na Abu Mahdi al-Muhandis

    Jan 10, 2020 04:41

    Mamia ya Wairaqi wamekusanyika mahali makombora ya jeshi la kigaidi la Marekani yalipoulenga msafara wa magari yaliyokuwa yamewabeba Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu na Abu Mahdi al-Muhandis, Naibu Mkuu wa Jeshi la Kujitolea la Wananchi wa Iraq la Al-hashdu-Sha'abi na kulaani jinai hiyo ya Marekani.

  • Kiongozi Muadhamu: Kuna njama maalumu za kusahaulisha utamaduni wa jihadi na kufa shahidi

    Kiongozi Muadhamu: Kuna njama maalumu za kusahaulisha utamaduni wa jihadi na kufa shahidi

    Dec 26, 2019 08:33

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, suala la kuwaenzi mashahidi ni jambo la lazima na ni jukumu la kila mtu kwani hivi sasa kuna siasa na harakati za kikhabithi zinazolenga kusahaulisha nembo za Mapinduzi ya Kiislamu hususan utamaduni wa jihadi na kuwa tayari kujitolea kufa shahidi katika njia ya Allah.

  • Kamanda mwingine wa Jihad Islami ya Palestina auawa shahidi

    Kamanda mwingine wa Jihad Islami ya Palestina auawa shahidi

    Nov 13, 2019 08:28

    Kamanda mwingine wa ngazi za juu wa Harakati ya Jihad Islami ya Palestina ameuawa shahidi katika hujuma ya ndege za kivita za utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Kuuawa shahidi Imam Hassan Askari (as)

    Kuuawa shahidi Imam Hassan Askari (as)

    Nov 04, 2019 06:31

    Imam Hassan Askari (as) aliuawa shahidi mwaka 260 Hijiria sawa na mwaka 873 Miladia kutokana na njama iliyofanywa katika siku kama hizi na mmoja wa watawala dhalimu wa Bani Abbas.

  • Maombolezo ya Imam Ali Ridha (as) nchini Iran

    Maombolezo ya Imam Ali Ridha (as) nchini Iran

    Oct 29, 2019 04:22

    Leo Jumanne tarehe 30 Swafar 1441 Hijiria sawa na tarehe 29 Oktoba Miladia inasadifiana na siku ya kukumbuka kuuawa shahidi Imam Ali ar-Ridha (as), mjukuu wa Mtume Mtukufu (saw) miaka 1237 iliyopita.

  • Makumi ya mateka wa Kipalestina wameuawa kwa mateso Israel

    Makumi ya mateka wa Kipalestina wameuawa kwa mateso Israel

    Oct 03, 2019 00:44

    Kundi la kutetea haki za binadamu la Palestina limeripoti kuwa, makumi ya mateka na wafungwa wa Kipalestina wameuawa kwa mateso na ukatili wa aina mbalimbali wakihojiwa na kusailiwa na maafisa wa magereza na jela za utawala haramu wa Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS