-
Magaidi wa Al Shabab wateka mji wa Garad, Somalia
Mar 15, 2016 11:24Magaidi wa Al Shabab wameuteka mji wa bandarini wa Garad katika eneo la Puntland lenye mamlaka ya ndani Somalia.
-
Mwangwi wa ushindi wa jeshi la Syria dhidi ya makundi ya kigaidi
Mar 09, 2016 13:10Waziri wa Habari wa Syria amesema kuwa njama za baadhi ya nchi za Magharibi na za Kiarabu za kuigawa Syria zimegonga mwamba.
-
Lavrov aitaka Uturuki kukoma kutuma silaha kwa makundi ya kigaidi Syria
Mar 02, 2016 03:21Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ametaka kuchukuliwe hatua za kuzuia magendo ya silaha kutoka Uturuki kwenda Syria ambako zinatumiwa na makundi ya kigaidi.
-
Magaidi 450 wa Daesh waangamizwa Aleppo, Syria
Mar 01, 2016 23:19Mamia kadhaa ya magaidi wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh wameangamizwa katika operesheni ya mashambulio iliyofanywa na jeshi la Syria katika kiunga cha mji wa Aleppo.
-
20 wameuawa katika hujuma ya kigaidi Al Shabab Mogadishi
Feb 27, 2016 13:19Watu 20 wamebainika kuuawa katika hujuma ya kundi la kigaidi la Al Shabab mjini Mogadishi.
-
Daesh yaendeleza jinai zake, yachinja mabarobaro 17 Iraq
Feb 19, 2016 23:37Kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh limeua vijana 17 kwa kuwakata vichwa katika mkoa wa Kirkuk, kaskazini mwa Iraq.
-
Makumi wauawa Nigeria katika mashambulio ya Boko Haram
Feb 14, 2016 03:38Watu 30 wameuawa katika mashambulio mapya yaliyofanywa na kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram katika vijiji viwili vya kaskazini mwa Nigeria.
-
Tahadhari ya Umoja wa Afrika kwa wanamgambo wa al-Shabab
Feb 12, 2016 04:36Mjumbe maalumu wa Umoja wa Afrika nchini Somalia ametahadharisha kuhusiana na harakati za kundi la kigaidi la al-Shabab.