Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

kunyongwa - kifo

  • Sana'a: Hatua ya Saudia ya kuwanyonga mateka wa Yemen ni jinai ya kivita

    Sana'a: Hatua ya Saudia ya kuwanyonga mateka wa Yemen ni jinai ya kivita

    Mar 14, 2022 07:57

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen imekitaja kitendo cha Saudi Arabia cha kuwanyonga mateka kadhaa wa Yemen kuwa ni mfano wa wazi wa jinai ya kivita.

  • Serikali ya mamluki wa Saudia yawahukumu kifo maafisa wake kadhaa

    Serikali ya mamluki wa Saudia yawahukumu kifo maafisa wake kadhaa

    Oct 05, 2021 10:46

    Shirika la ujasusi wa kijeshi la serikali ya mamluki wa Saudi Arabia inayoongozwa na rais mkimbizi Abdu Rabuh Mansour Hadi, limewahukumu kifo maafisa wake kadhaa kwa kushindwa kuulinda mkoa wa Maarib.

  • Mahakama ya Misri yatoa hukumu ya kifo kwa wanachama wengine 24 wa Ikhwanul Muslimin

    Mahakama ya Misri yatoa hukumu ya kifo kwa wanachama wengine 24 wa Ikhwanul Muslimin

    Jul 30, 2021 07:17

    Mahakama ya Misri imetoa hukumu ya kifo kwa wapinzani 24 wa mapinduzi ya kijeshi yaliyofanywa dhidi ya rais halali wa zamani wa nchi hiyo marehemu Muhammad Morsi.

  • Kamanda Mkuu wa Jeshi la Saudia katika mashambulio ya Yemen ahukumiwa kifo kwa uhaini

    Kamanda Mkuu wa Jeshi la Saudia katika mashambulio ya Yemen ahukumiwa kifo kwa uhaini

    Jun 29, 2021 02:41

    Fahd bin Turki bin Abdulaziz Aal Saud, kamanda wa ngazi za juu wa jeshi vamizi la Saudi Arabia nchini Yemen amehukumiwa kifo na Baraza la Kijeshi la Saudia kwa tuhuma za uhaini.

  • Misri yawanyonga watuhumiwa wa uvamizi dhidi ya kituo cha polisi, Amnesty yalaani

    Misri yawanyonga watuhumiwa wa uvamizi dhidi ya kituo cha polisi, Amnesty yalaani

    Apr 27, 2021 06:45

    Idara ya Magereza ya Misri inayoongozwa na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi hiyo imetangaza kuwa, imetekeleza hukumu ya kifo dhidi ya watu 9 waliohukumiwa kwa hatia ya kile kinachotajwa kuwa ni uvamizi dhidi ya kituo cha polisi.

  • Jumuiya 16 za kimataifa zaiandikia barua Bahrain na kuitaka isiwanyonge raia

    Jumuiya 16 za kimataifa zaiandikia barua Bahrain na kuitaka isiwanyonge raia

    Jul 23, 2020 13:00

    Jumuiya 16 za kimataifa zimemuandikia barua mfalme wa Bahrain Hamad bin Isa bin Salman al-Khalifa zikimtaka azuie utekelezaji wa adhabu ya kifo dhidi ya vijana wawili kwa kosa la kuwashambulia polisi.

  • Uingiliaji wa kifidhuli wa Donald Trump katika masuala ya ndani ya Iran

    Uingiliaji wa kifidhuli wa Donald Trump katika masuala ya ndani ya Iran

    Jul 17, 2020 02:40

    Tangu Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yalipopata ushindi mwaka 1979 kwa uongozi wa Imam Ruhullah Khomeini Marekani daima imekuwa na utendaji hasi na wa kihasama dhidi ya taifa hili la Kiislamu.

  • Watu 37 wahukumiwa kifo nchini Misri

    Watu 37 wahukumiwa kifo nchini Misri

    Feb 02, 2020 02:41

    Mahakama moja nchini Misri imewahukumu adhabu ya kifo watu 37 akiwemo Hisham al Ashmawy afisa wa zamani wa jeshi la nchi hiyo aliyejiunga na magenge ya kigaidi.

  • Saudi Arabia yavunja rekodi yake ya kunyonga watu

    Saudi Arabia yavunja rekodi yake ya kunyonga watu

    Oct 07, 2019 07:55

    Katika kipindi cha miezi 9 iliyopita ya mwaka huu wa 2019, Saudi Arabia imeshatekeleza adhabu ya kifo kwa watu 160 na kuvunja rekodi yake ya huko nyuma ya kutekeleza adhabu hiyo kwa watu wengi zaidi duniani.

  • Mashirika ya haki za Binadamu: Mwaka huu pekee, Saudia imenyonga wapinzani 130 wa Bin Salman

    Mashirika ya haki za Binadamu: Mwaka huu pekee, Saudia imenyonga wapinzani 130 wa Bin Salman

    Sep 14, 2019 03:08

    Shirika la kupinga adhabu ya kifo limetangaza kuwa utawala wa kifalme wa Saudi Arabia umenyonga watu zaidi ya 130 katika mwaka huu, aghlabu yao wakiwa wapinzani wa mrithi wa ufalme wa nchi hiyo, Muhammad bin Salman.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS