Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

kunyongwa - kifo

  • Magaidi wa kaskazini mwa Nigeria waua raia 11

    Magaidi wa kaskazini mwa Nigeria waua raia 11

    Aug 30, 2019 12:27

    Magaidi wa Nigeria wanaodhaniwa kuwa wanachama wa kundi la kigaidi la Boko Haram wameua raia wasiopungua 11 huko kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.

  • Mwana wa Sheikh Salman al-Ouda: Baba yangu amehukumiwa kifo kwa sababu ya kutaka marekebisho Saudia

    Mwana wa Sheikh Salman al-Ouda: Baba yangu amehukumiwa kifo kwa sababu ya kutaka marekebisho Saudia

    Aug 14, 2019 12:17

    Mtototo wa kiume wa mwanazuoni na msomi maarufu wa Saudi Arabia, Sheikh Salman al-Ouda anayeshikiliwa katika korokoro ya nchi hiyo amesema kuwa, baba yake anakabiliwa na kifo baada ya kutoa wito wa kufanyika mageuzi nchini Saudi Arabia.

  • Jumuiya ya Al-Wifaq Bahrain yatoa wito wa maandamano ya kulaani jinai za utawala wa Aal Khalifa

    Jumuiya ya Al-Wifaq Bahrain yatoa wito wa maandamano ya kulaani jinai za utawala wa Aal Khalifa

    Jul 27, 2019 13:55

    Jumuiya ya kitaifa na Kiislamu nchini Bahrain ya Al-Wifaq, imetoa wito kwa wananchi kufanya maandamano ya kulaani na kulalamikia jinai ya utawala wa Aal Khalifa wa kuwanyonga vijana wawili kwa tuhuma hewa.

  • 2019, mwaka wa kunyongwa watu zaidi nchini Saudi Arabia

    2019, mwaka wa kunyongwa watu zaidi nchini Saudi Arabia

    Jul 12, 2019 05:57

    Vyombo vya habari vimeripoti kuwa kesi za kunyongwa watu nchini Saudi Arabia zimeongezeka mara mbili katika nusu ya kwanza ya mwaka huu wa 2019.

  • Maimamu wa Kisuni nchini Iran walaani chinjachinja ya Saudi Arabia dhidi ya Waislamu wa Kishia

    Maimamu wa Kisuni nchini Iran walaani chinjachinja ya Saudi Arabia dhidi ya Waislamu wa Kishia

    Apr 27, 2019 13:09

    Wajumbe wa Baraza la Wanazuoni, Kamati ya Fatwa na maimamu wa sala za Ijumaa za miji na vijiji vya Waislamu wa Kisuni vya mkoa wa Bushehr kusini mwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, wamelaani vikali hatua za utawala wa Aal Saud wa kuwanyonga raia 37 wa Saudia wengi wao wakiwa ni Waislamu wa Kishia.

  • Zaidi ya watu 2000 wahukumiwa kifo nchini Misri

    Zaidi ya watu 2000 wahukumiwa kifo nchini Misri

    Apr 14, 2019 16:53

    Mahakama za Misri zimetoa adhabu ya kifo kwa watu elfu mbili na 159 nchini humo.

  • Watetezi wa haki za binadamu waandamana kupinga hukumu za vifo Misri

    Watetezi wa haki za binadamu waandamana kupinga hukumu za vifo Misri

    Feb 22, 2019 17:12

    Watetezi wa haki za binadamu wamefanya maandamano katika nchi kadhaa duniani kupinga utekelezaji wa hukumu ya kifo dhidi ya wapinzani wa serikali ya Misri.

  • Jinai za Saudi Arabia kuanzia mauaji ya Sheikh Nimr hadi ukatili mkubwa dhidi ya Khashoggi

    Jinai za Saudi Arabia kuanzia mauaji ya Sheikh Nimr hadi ukatili mkubwa dhidi ya Khashoggi

    Jan 02, 2019 12:51

    Katika siku kama hii ya leo ya Januari Pili mwaka 2016 utawala wa Saudi Arabia ulimuua shahidi Sheikh Nimr Baqri al Nimr, mwanazuoni wa Kiislamu na mwanamapambano wa kutetea haki wa Saudi Arabia kwa sababu tu ya kuukosoa utawala wa kifalme wa nchi hiyo.

  • Idadi ya wanaonyongwa Saudia imeongezkea maradufu wakati wa Bin Salman

    Idadi ya wanaonyongwa Saudia imeongezkea maradufu wakati wa Bin Salman

    Dec 22, 2018 02:56

    Idadi ya watu wanaonyongwa nchini Saudi Arabia imeongezeka maradufu tokea Mohammad bin Salman ateuliwe kuwa mrithi wa kiti cha ufalme nchini humo.

  • Netanyahu aunga mkono kunyongwa mateka wa Kipalestina

    Netanyahu aunga mkono kunyongwa mateka wa Kipalestina

    Nov 06, 2018 15:07

    Waziri Mkuu wa Utawala wa Kizayuni wa Israel ameunga mkono muswada unaopendekeza kunyongwa mateka wa Kipalestina wanaoshikiliwa katika jela za kutisha za utawala huo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS