-
Hatimaye makubaliano ya usitishaji vita katika Ukanda wa Ghaza yameanza kutekelezwa
Jan 19, 2025 13:07Wizara ya Mambo ya Nje ya Qatar imetangaza kuwa makubaliano ya kusitisha vita katika Ukanda wa Ghaza yameanza kutekelezwa.
-
Mwanadiplomasia wa zamani wa US: Jinai za Ghaza 'zitamsakama' Blinken hadi mwisho wa maisha yake
Jan 18, 2025 03:24Mwanadiplomasia wa Marekani aliyejiuzulu mwaka jana kulalamikia vita vya Ghaza na uungaji mkono wa Washington kwa vita hivyo amesema, jinai zilizofanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina katika vita hivyo 'zitamsakama' waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo Antony Blinken kwa muda wote uliosalia wa maisha yake.
-
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu: Muqawama wa Palestina umeilazimisha Israel kurudi nyuma
Jan 16, 2025 11:17Baada ya kutangazwa makubaliano ya usitishaji vita huko Gaza, Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Imam Ali Khamenei ametuma ujumbe kwenye mitandao ya kijamii na kuandika: Subira na kusimama kidete kwa wananchi na Muqawama wa Wapalestina vimeulazimisha utawala wa Kizayuni kurudi nyuma.
-
61% ya Wazayuni: Netanyahu amegonga mwamba, Israel haijashinda vita dhidi ya Hizbullah
Nov 27, 2024 12:41Kwa mujibu wa uchunguzi mpya wa maoni uliofanywa na jeshi la utawala haramu wa Israel ndani ya jamii ya Wazayuni, asilimia 61 miongoni mwao wanaamini kuwa utawala huo haujapata ushindi katika vita dhidi ya Hizbullah ya Lebanon.
-
China kusaidia ujenzi wa kiwanda cha kwanza Afrika cha chanjo ya kipindupindu nchini Zambia
Oct 09, 2024 02:26Zambia imetia saini Hati ya Makubaliano (MOU) na China ya ujenzi wa kiwanda cha kwanza cha utengenezaji chanjo ya kipindupindu nchini humo na barani Afrika pia.
-
Hamas yapinga makubaliano yanayotambua rasmi uwepo wa Israel huko Ghaza
Sep 06, 2024 07:26Mkuu wa timu ya mazungumzo ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, amesema harakati hiyo ya muqawama haitaafiki makubaliano ambayo yanahalalisha uwepo wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Ghaza.
-
Kuunga mkono Iran maamuzi ya wananchi na muqawama wa Palestina
Sep 04, 2024 12:41Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametangaza kuwa, Tehran inaunga mkono makubaliano na uamuzi wowote wa makundi ya muqawama na wananchi wa Palestina.
-
Israel yaidhinisha jeshi libaki kwenye Ukanda wa Philadelphi na kuua matumaini ya kusitishwa vita
Aug 30, 2024 10:15Baraza la mawaziri la vita la utawala wa Kizayuni wa Israel limeidhinisha kuendelea kuwepo kwa jeshi katika Ukanda wa Philadelphi kwenye mpaka wa pamoja wa Ukanda wa Ghaza na Misri na hivyo kudidimiza matumaini ya kusitishwa na hatimaye kukomeshwa vita vya kinyama vilivyoanzishwa na utawala huo dhidi ya eneo hilo tangu Oktoba 7, 2023.
-
Jumamosi, 17 Agosti, 2024
Aug 17, 2024 04:21Leo ni Jumamosi 12 Mfunguo Tano Safar 1446 Hijria sawa na 17 Agosti 2024.
-
HAMAS: Badala ya mazungumzo mapya, Wazayuni walazimishwe kutekeleza usitishaji vita
Aug 13, 2024 05:40Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema utawala ghasibu wa Kizayuni umethibitisha kuwa hautaki kufikia makubaliano; na kwa sababu hiyo, harakati hiyo imewataka wapatanishi wa Misri na Qatar wawalazimishe Wazayuni watekeleze pendekezo la hivi karibuni la usitishaji vita badala ya kutaka yaanzishwe mazungumzo mengine mapya.