-
Safari ya Hassan Diab nchini Qatar; malengo na umuhimu wake
Apr 20, 2021 06:25Hassan Diab, Waziri Mkuu wa serikali ya mshikizo ya Lebanon Jumapili ya juzi tarehe 18 Aprili aliwasili Doha, mji mkuu wa Qatar ikiwa ni safari yake ya kwanza nje ya nchi tangu ulipoanza mwaka huu wa 2021.
-
Hassan Diab: Lebanon inakaribia kusambaratika
Apr 19, 2021 23:07Waziri Mkuu wa muda wa Lebanon amesema ana wasiwasi juu ya hatari ya kusambaratika nchi yake kutokana na migogoro mikubwa iliyojitokeza na ambayo haijaweza kutatuliwa, ukiwemo wa kuunda serikali mpya.
-
Waungaji mkono wa nje wa Hariri ndio chanzo cha kushindwa kwake kuunda serikali ya Lebanon
Apr 12, 2021 22:22Licha ya kupita miezi 6 tokea bunge la Lebanon limpigie kura ya kuwa na imani naye, Saad Hariri ameshindwa kuunda serikali mpya na kwa sasa masuala ya nchi hiyo yanasimamiwa na serikali ya muda inayoongozwa na Hassan Diab.
-
Lebanon yaikosoa Israel kutumia anga yake kuishambulia Syria
Apr 10, 2021 07:59Lebanon imekosoa vikali kitendo cha utawala wa Kizayuni wa Israel kutumia anga ya hiyo ya Kiarabu kutekeleza mashambulio ya makombora dhidi ya Syria.
-
Mchango wa Maulamaa wa Kishia Katika Uislamu (22) +SAUTI
Mar 28, 2021 00:53Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji popote pale mlipo. Karibuni katika sehemu nyingine mfululizo huu wa Mchango wa Maulamaa wa Kishia Katika Uislamu ambao huwatambulisha na kuwazungumzia Maulamaa wakubwa wa Kishia, mchango wao katika Uislamu pamoja na vitabu na athari zao.
-
Kupimana nguvu makundi ya Lebanon na kuingia katika mivutano hatari ya kisiasa
Mar 26, 2021 12:09Duru ya 18 ya mazungumzo kati ya Saad al-Hariri, Waziri Mkuu wa Lebanon ambaye amepewa jukumu la kubuni serikali mpya, na Rais Michel Aoun, ambayo ilifanyika Jumatatu iliyopita, ilimazika bila natija yoyote ya maana na kwa mujibu wa vyombo vya habari, jambo hilo limeitumbukiza nchi hiyo katika mivutano ya kisiasa ambayo inaweza kuiandama kwa muda mrefu.
-
Lebanon yalaani madai ya utawala wa Kizayuni wa Israel kuhusu Hizbullah
Mar 17, 2021 23:18Balozi wa Lebanon katika Umoja wa Mataifa amelaani madai yaliyotolewa hivi karibuni na viongozi wa Kizayuni dhidi ya Hizbullah akisisitiza kuwa hayana msingi na yanaingilia masuala ya ndani ya nchi yake.
-
'Kulifufua genge la kigaidi la Daesh ndilo lengo la kiistratijia la Marekani'
Feb 25, 2021 23:20Mbunge wa zamani wa Lebanon amesisitiza kuwa, suala la kulifufua genge la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) ndilo lengo la kiistratijia la Marekani kwani inaamini kwamba genge hilo ni turufu ya kufanikisha malengo yake haramu katika eneo hili.
-
Video ya Hizbullah iliyokashifu vituo vya kijeshi vya Israel ndani ya miji yazusha taharuki
Feb 18, 2021 22:54Kwa mara ya kwanza, harakati ya Hizbullah ya Lebanon imetoa mkanda wa video unaoonyesha kambi na vituo vya kijeshi vya jeshi la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel ndani ya miji ya ardhi hizo za Palestina unazozikalia kwa mabavu.
-
Nasrallah aionya Israel: "Acheni kucheza na moto"
Feb 17, 2021 04:23Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon ameuonya vikali utawala wa Kizayuni wa Israel na kuutaka kutocheza na moto huku akisisitiza kuwa hujuma yoyote ile ya Israel dhidi ya Lebanon itakabiliwa na jibu kali kutoka kwa Hizbullah.