• Marekani, Israel, Saudia zinachochea fitna Mashariki ya Kati

    Marekani, Israel, Saudia zinachochea fitna Mashariki ya Kati

    Mar 01, 2016 23:20

    Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, Marekani, utawala wa Kizayuni wa Israel na Saudi Arabia zinachochea fitna na mizozo ya kimadhehebu katika eneo nyeti la Mashariki ya Kati.

  • Hizbullah: Hatuwezi kuiomba Saudia msamaha

    Hizbullah: Hatuwezi kuiomba Saudia msamaha

    Feb 28, 2016 04:33

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Lebanon Hizbullah imeukosoa utawala wa Saudi Arabia kwa kula njama ya kuitumbukiza Lebanon katika mzozo wa ndani na kuongeza kuwa katu haiwezi kuiomba msahama serikali ya Riyadh kwa kusema ukweli.

  • Mbinu mpya za Saudi Arabia za kushadidisha mgogoro wa kisiasa wa Lebanon

    Mbinu mpya za Saudi Arabia za kushadidisha mgogoro wa kisiasa wa Lebanon

    Feb 23, 2016 00:11

    Kufuatia kujiuzulu Waziri wa Sheria wa Lebanon, Ashraf Rifi siku ya Jumapili, dunia imeanza kushuhudia hila na njama mpya za Saudia Arabia zenye lengo la kupanua zaidi mgogoro wa kisiasa huko Lebanon.

  • Wabunge Lebanon washindwa tena kumchagua Rais

    Wabunge Lebanon washindwa tena kumchagua Rais

    Feb 08, 2016 22:59

    Bunge la Lebanon lilikutana tena jana (Jumatatu) na kwa mara nyingine likashindwa kumchagua Rais kutokana na kutotimia idadi ya mahudhurio ya Wabunge kwa ajili ya zoezi hilo.

  • Aoun: Lebanon inahitaji Hizbullah kulinda mipaka yake

    Aoun: Lebanon inahitaji Hizbullah kulinda mipaka yake

    Feb 07, 2016 22:18

    Kiongozi wa chama cha Harakati Huru ya Kizalendo nchini Lebanon (FPM) amepongeza juhudi za Harakati ya muqawama wa Kiislamu ya Lebanon Hizbullah za kupambana na kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh nchini Syria na kusisitiza kuwa, Lebanon inaiihitaji Hizbullah kulinda mipaka yake.