-
Libya yapinga kusimamishwa kazi Waziri wa Mambo ya Nje kabla ya uchaguzi
Nov 08, 2021 02:44Serikali ya Libya imepinga uamuzi wa Baraza la Rais la nchi hiyo wa kumsimamisha kazi Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika, wiki chache kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu.
-
UN: Watoto, wanawake 1,000 wanaozuiliwa Libya wapo hatarini
Oct 13, 2021 12:58Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (Unicef) umetadharisha kuhusu hali mbaya inayowakabili watoto wadogo na wanawake wapatao elfu moja ambao ni miongoni mwa maelfu ya wahajiri wanaozuiliwa katika kambi za wakimbizi za kuogofya huko Tripoli, mji mkuu wa Libya.
-
Ufaransa yakiri makosa yake ya kushiriki katika mashambulio ya Libya
Oct 11, 2021 02:28Akizungumza karibuni katika mji wa Montpellier na viongozi wa nchi za Kiafrika za eneo la Sahel, Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amekiri kwamba nchi yake ilifanya makosa kwa kushiriki katika mashambulio ya kijeshi yaliyofanyika dhidi ya Libya nwaka 2011.
-
Maiti 17 za wahajiri zapatikana ufukweni magharibi mwa Libya
Oct 06, 2021 13:01Shirika la Hilali Nyekundu la Libya limesema maiti 17 za wahajiri wanaoaminika kufa maji baada ya boti waliokuwa wakisafiria kuzama zimepatikana katika pwani ya magharibi ya nchi hiyo.
-
Bunge la Libya lapiga kura ya kutokuwa na imani na Baraza Kuu la Serikali ya nchi hiyo
Sep 23, 2021 04:13Bunge la Libya limepiga kura ya kutokuwa na imani na Baraza Kuu la Serikali ya nchi hiyo. Hatua hiyo imecukuliwa huku pande zote zinazozozana nchini Libya zikiwa mbioni kutayarisha mazingira mwafaka ya kuitisha uchaguzi huru na wa haki nchini humo na kukomesha mgogoro unaoendelea kwa zaidi ya miaka 10 sasa katika nchi hiyo ya Kaskazini mwa Afrika.
-
Bunge la Libya limepiga kura ya kutokuwa na imani na serikali ya mpito ya nchi hiyo
Sep 22, 2021 03:22Abdallah Bilhaq Msemaji wa bunge la Libya lenya makao yake katika mji wa Tobruk mashariki mwa nchi hiyo jana adhuhuri alitangaza kuwa bunge hilo limepiga kura ya kutokuwa na imani na serikali ya mpito ya hiyo.
-
Wasiwasi wa Umoja wa Mataifa kuhusu kupotea maelfu ya wahajiri waliorejeshwa Libya
Sep 19, 2021 06:39Afisa mmoja wa Shirika la Wakimbizi la Umoja wa Mataifa amebainisha kutiwa wasiwasi na kupotea maelfu ya wahajiri ambao walikatizwa safari yao kuelekea Ulaya na kisha kurejeshwa Libya.
-
Algeria na Libya zakubaliana kufunguliwa tena ubalozi wa Algeria huko Tripoli
Sep 18, 2021 02:31Rais wa Algeria na Naibu Mkuu wa Baraza la Uongozi la Libya wamekubaliana kufungua tena ubalozi wa Algeria huko Tripoli mji mkuu wa Libya.
-
Shakhsiya watiifu kwa utawala wa Gaddafi kuwa na nafasi muhimu katika uchaguzi ujao Libya
Sep 12, 2021 11:07Hatua ya kuachiwa huru wiki hii mwana wa kiume wa kiongozi wa zamani wa Libya, Kanali Muammar Gaddafi, ni ishara kwamba Libya inaelekea katika mageuzi makubwa.
-
Bunge la Libya lapitisha sheria ya uchaguzi wa rais uliopangwa kufanyika Desemba
Sep 10, 2021 12:33Duru za habari zimetangza kuwa bunge la Libya limepitisha sheria ya uchaguzi wa rais uliopangwa kufanyika mwezi Desemba mwaka huu.