Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Libya

  • Bunge la Libya lapitisha sheria ya uchaguzi wa rais uliopangwa kufanyika Desemba

    Bunge la Libya lapitisha sheria ya uchaguzi wa rais uliopangwa kufanyika Desemba

    Sep 10, 2021 08:03

    Duru za habari zimetangza kuwa bunge la Libya limepitisha sheria ya uchaguzi wa rais uliopangwa kufanyika mwezi Desemba mwaka huu.

  • Ujerumani yafungua tena ubalozi wake huko Tripoli, Libya

    Ujerumani yafungua tena ubalozi wake huko Tripoli, Libya

    Sep 09, 2021 22:16

    Ujerumani imefungua tena ubalozi wake huko Libya baada ya kufungwa kwa miaka minane.

  • Mpango wa maridhiano ya kitaifa nchini Libya

    Mpango wa maridhiano ya kitaifa nchini Libya

    Sep 07, 2021 22:10

    Mkuu wa Baraza la Uongozi nchini Libya Mohamed al-Menfi ametangaza kwamba mpango wa maridhiano ya kitaifa umeanza rasmi nchini humo na kwamba utekelezaji wa mpango huo ni hatua muhimu katika njia ya kukomesha machafuko katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.

  • Majirani wa Libya wamaliza mkutano wao; wasisitiza kutopatiwa silaha mamluki

    Majirani wa Libya wamaliza mkutano wao; wasisitiza kutopatiwa silaha mamluki

    Sep 01, 2021 06:46

    Kikao cha mataifa jirani na Libya kilichokuwa kikifanyika nchini Algeria kimemalizika huku washiriki wa mkutano huo wakisisitizia ulazima wa kuzuia kupatiwa silaha mamluki na wakati huo huo kukabiliana na hatua za kuzusha mifarakano miongoni mwa Walibya.

  • Uwepo wa makundi ya kigaidi amilifu nchini Libya; tatizo kubwa na la kimsingi

    Uwepo wa makundi ya kigaidi amilifu nchini Libya; tatizo kubwa na la kimsingi

    Aug 31, 2021 03:48

    Uwepo wa makundi ya kigaidi amilifu nchini Libya bado lingali ni tatizo kuu na la kimsingi kwa nchi hiyo katika njia ya kurejesha amani na uthabiti.

  • Wahajiri 17 wafariki dunia katika ajali ya boti pwani ya Libya

    Wahajiri 17 wafariki dunia katika ajali ya boti pwani ya Libya

    Aug 24, 2021 03:17

    Shirika la Wahamiaji Duniani (IOM) limesema wahajiri 17 wamekufa maji baada ya boti waliokuwa wakisafiria kuzama katika pwani ya Libya.

  • Waziri Mkuu wa Libya amweleza Jenerali Haftar: Jeshi si milki ya mtu yeyote

    Waziri Mkuu wa Libya amweleza Jenerali Haftar: Jeshi si milki ya mtu yeyote

    Aug 11, 2021 07:41

    Waziri Mkuu wa serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya amemweleza kamanda wa kundi linalojiita Jeshi la Taifa la Libya (LNA) kwamba, jeshi la nchi hiyo haliwezi kuwa milki ya mtu yeyote yule.

  • Libya na zuio kali la siku tatu la kutoka nje ili kupambana na maambukizi ya corona

    Libya na zuio kali la siku tatu la kutoka nje ili kupambana na maambukizi ya corona

    Aug 08, 2021 21:52

    Libya imeanza kutekeleza zuio kali la watu kutoka nje kwa siku tatu ili kupambana na maambukizi ya virusi vya corona nchini humo.

  • Russia yaitaka Marekani iwaondoe wanajeshi wake Iraq, Libya, Syria na Afghanistan

    Russia yaitaka Marekani iwaondoe wanajeshi wake Iraq, Libya, Syria na Afghanistan

    Jul 28, 2021 03:17

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia ameitaka Marekani iwaondoe wanajeshi wake huko Iraq, Libya, Afghanistan na Syria.

  • Wahajiri 57 waaga dunia katika pwani ya Libya

    Wahajiri 57 waaga dunia katika pwani ya Libya

    Jul 27, 2021 03:04

    Shirika la Kimataifa la Uhamiaji limetangaza kuaga dunia wahajiri 57 katika pwani ya Libya baada ya kupinduka na kuzama boti waliyokuwa wakisafiria.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS