Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Libya

  • Iran: Njia pekee ya kuutatua mgogo wa Libya ni mazungumzo na njia za kisiasa

    Iran: Njia pekee ya kuutatua mgogo wa Libya ni mazungumzo na njia za kisiasa

    Oct 25, 2020 02:39

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran inapinga uingiliaji wa aina yoyote ile wa masuala ya ndani ya Libya ikiwa ni pamoja na mchakato wa mazungumzo na makubaliano ya pande hasimu nchini humo.

  • Kutia saini pande hasimu nchini Libya makubaliano ya usitishaji vita

    Kutia saini pande hasimu nchini Libya makubaliano ya usitishaji vita

    Oct 24, 2020 06:16

    Hatimaye baada ya mazungumzo marefu na tata pande hasimu nchini Libya zimetiliana saini makubaliano ya usitishaji vita.

  • Pande hasimu Libya zasaini makubaliano ya usitishaji vita

    Pande hasimu Libya zasaini makubaliano ya usitishaji vita

    Oct 23, 2020 12:57

    Pande zinazozozana Libya leo Ijumaa zimesaini makubaliano ya kusitisha vita chini ya usimamizi wa Umoja wa Mataifa. Makubaliano hayo yamesaini huko Geneva nchini Uswisi

  • Umoja wa Mataifa:Tuna imani ya kufikiwa mkataba wa kudumu wa kusitishwa mapigano Libya

    Umoja wa Mataifa:Tuna imani ya kufikiwa mkataba wa kudumu wa kusitishwa mapigano Libya

    Oct 22, 2020 02:38

    Kaimu mwakilishi wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Libya amesema kuwa, ana imani ya kufikiwa mkataba wa kudumu wa kusitisha mapigano nchini Libya kutokana na mazungumzo yanayoendelea kati ya pande hasimu.

  • Wanasiasa Libya wapinga kuanzishwa uhusiano kati ya nchi hiyo na Tel Aviv

    Wanasiasa Libya wapinga kuanzishwa uhusiano kati ya nchi hiyo na Tel Aviv

    Oct 15, 2020 04:29

    Duru za kidiplomasia nchini Tunisia zimeripoti kuwa, aghalabu ya wanasiasa na wanajeshi wa Libya wanapinga kuanzishwa uhusiano kati ya Tripoli na Tel Aviv.

  • Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa Libya yajiandaa kukabiliana na hujuma ya jeshi la Haftar

    Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa Libya yajiandaa kukabiliana na hujuma ya jeshi la Haftar

    Oct 10, 2020 02:31

    Wizara ya Ulinzi ya Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa nchini Libya imetangaza kuwa, vikosi vya wapiganaji wa jenerali muasi, Khalifa Haftar vimejitayarisha kwa ajili ya kushambulia magharibi mwa nchi na maeneo yanayodhibitiwa na serikali ya Tripoli.

  • Uenyekiti wa Arab League wageuka kiazi moto, Libya pia yaukataa

    Uenyekiti wa Arab League wageuka kiazi moto, Libya pia yaukataa

    Oct 07, 2020 07:53

    Siku chache baada ya Qatar na Kuwait kukataa kuchukua uenyekiti wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) badala ya Palestina ambayo nayo ilikataa uenyekiti huo, Libya pia imeamua kufuata mkumbo huo.

  • Antonio Guterres: Mustakbali wa Libya upo hatarini

    Antonio Guterres: Mustakbali wa Libya upo hatarini

    Oct 06, 2020 12:12

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameyahimiza mataifa makubwa duniani yenye maslahi katika vita vinavyoendelea huko Libya kuacha kuzitumia silaha serikali waitifaki wao.

  • Libya na Uturuki zasisitiza kuhusu uhusiano wa karibu

    Libya na Uturuki zasisitiza kuhusu uhusiano wa karibu

    Oct 05, 2020 09:37

    Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amekutana na Waziri Mkuu wa Libya anayeondoka Fayez al-Sarraj, ambaye anaongoza Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa (GNA), inayotambuliwa na Umoja wa Mataifa.

  • Duru ya pili ya mazungumzo baina ya pande hasimu Libya yaanza nchini Morocco

    Duru ya pili ya mazungumzo baina ya pande hasimu Libya yaanza nchini Morocco

    Oct 03, 2020 07:49

    Duru ya pili ya mazungumzo baina ya pande hasimu nchini Libya imeanza katika katika mji wa Bouznika huko nchini Morocco ikiwa ni katika juhudi za kujaribu kuutafutia ufumbuzi mgogoro wa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS