Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Libya

  • Mazungumzo baina ya pande hasimu nchini Libya yameanza huko Morocco

    Mazungumzo baina ya pande hasimu nchini Libya yameanza huko Morocco

    Sep 06, 2020 02:27

    Mazungumzo baina ya pande mbili hasimu nchini Libya yalianza jana Jumamosi katika viunga vya mji mkuu wa Moroco Rabat.

  • Guterres ataka kufungwa vituo vya kuwashikilia wakimbizi nchini Libya

    Guterres ataka kufungwa vituo vya kuwashikilia wakimbizi nchini Libya

    Sep 05, 2020 02:35

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amewataka viongozi wa Libya kuvifunga vituo vyote ambavyo wakimbizi wamekuwa wakishikiliwa nchini humo.

  • Utawala wa Kizayuni unawapatia silaha wanamgambo wa Khalifa Haftar huko Libya

    Utawala wa Kizayuni unawapatia silaha wanamgambo wa Khalifa Haftar huko Libya

    Sep 03, 2020 11:26

    Maafisa wa jeshi la mashariki mwa Libya wameeleza kuwa mamluki wenye mfungamano na kundi linalojiita " Jeshi la Taifa la Libya" wamepokea maroketi kutoka kwa utawala wa Kizayuni kupitia Imarati.

  • Libya yapata  hasara ya dola bilioni 9 kutokana na kufungwa taasisi zake za mafuta

    Libya yapata hasara ya dola bilioni 9 kutokana na kufungwa taasisi zake za mafuta

    Aug 31, 2020 06:28

    Shirika la Mafuta la Libya limetangaza kuwa nchi hiyo imepata hasara ya dola bilioni tisa kutokana na kufungwa taasisi za mafuta na kusitishwa uzalishaji na uuzaji wa bidhaa hiyo.

  • Khalifa Haftar afunguliwa mashtaka ICC kwa jinai za makaburi ya halaiki ya Tarhunah, Libya

    Khalifa Haftar afunguliwa mashtaka ICC kwa jinai za makaburi ya halaiki ya Tarhunah, Libya

    Aug 28, 2020 11:54

    Wakili Mmarekani mwenye asili ya Palestina amefungua mashtaka katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC dhidi ya Khalifa Haftar, kamanda wa kundi linalojiita Jeshi la Taifa la Libya (LNA).

  • Serikali ya Libya yatangaza kafyu katika mji mkuu Tripoli

    Serikali ya Libya yatangaza kafyu katika mji mkuu Tripoli

    Aug 27, 2020 06:38

    Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa ya Libya imetangaza kuweka kafyu katika mji mkuu wa nchi hiyo Tripoli kufuatia kushtadi maandamano ya wananchi.

  • Wanamgambo wa Haftar wakosoa pendekezo la Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa ya Libya

    Wanamgambo wa Haftar wakosoa pendekezo la Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa ya Libya

    Aug 25, 2020 03:29

    Msemaji wa wanamgambo wanaoongozwa na jenerali muasi Khalifa Haftari ambao wanajiita Jeshi la Kitaifa la Libya wamepinga pendekezo lililotolewa na kiongozi wa Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa ya Libya na kulitaja kama la kuleta mshawasha kwa fikra za waliowengi nchini humo.

  • Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa Libya yatangaza kusitisha vita

    Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa Libya yatangaza kusitisha vita

    Aug 23, 2020 00:01

    Wakati pande mbalimbali zikiendelea kulumbana juu ya namna ya kugawana keki ya Libya na kuingilia mambo ya ndani ya nchi hiyo, Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa yenye makao yake mjini Tripoli imetoa amri ya kusitishwa vita mara moja na kusimamishwa operesheni zote za kijeshi.

  • Guterres atoa wito wa kuanza mchakato wa kisiasa kwa ajili ya amani nchini Libya

    Guterres atoa wito wa kuanza mchakato wa kisiasa kwa ajili ya amani nchini Libya

    Aug 22, 2020 09:11

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amezitaka pande mbili hasimu katika mgogoro wa Libya kujiunga na mchakato wa kisiasa wa kutafuta suluhisho la matatizo ya nchi hiyo.

  • Wahajiri 45 wafariki katika pwani ya Libya kwenye ajali mbaya zaidi ya meli mwaka huu

    Wahajiri 45 wafariki katika pwani ya Libya kwenye ajali mbaya zaidi ya meli mwaka huu

    Aug 20, 2020 07:09

    Mashirika ya Umoja wa Mataifa yameripoti kuwa, wahamiaji wasiopungua 45 kutoka nchi za Afrika pamoja na wakimbizi wamefariki dunia katika Bahari ya Mediterania kwenye ajali mbaya zaidi ya baharini kutokea katika pwani ya Libya katika mwaka huu wa 2020.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS