Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Libya

  • Uturuki, Qatar na Libya kushirikiana kijeshi

    Uturuki, Qatar na Libya kushirikiana kijeshi

    Aug 18, 2020 14:43

    Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa ya Libya imesema imefikiana na Uturuki na Qatar juu ya kutia saini mkataba wa pande tatu wa ushirikiano wa kijeshi na kwamba miongoni mwa nukta muhimu za ushirikiano huo ni kujenga kituo cha kijeshi cha Uturuki katika Bandari ya Misrata nchini Libya.

  • Uturuki na Libya zasaini mikataba ya ushirikiano wa kiuchumi yenye thamani ya dola bilioni 16

    Uturuki na Libya zasaini mikataba ya ushirikiano wa kiuchumi yenye thamani ya dola bilioni 16

    Aug 17, 2020 02:28

    Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa ya Libya inayotambuliwa kimataifa yenye makao yake katika mji mkuu wa nchi hiyo Tripoli imesaini mikataba ya ushirikiano wa kiuchumi na Uturuki yenye thamani ya dola bilioni 16.

  • Wananchi wenye hasira wachoma moto ubalozi wa Imarati nchini Libya

    Wananchi wenye hasira wachoma moto ubalozi wa Imarati nchini Libya

    Aug 16, 2020 11:33

    Wananchi wa Libya wenye hasira wamechoma moto jengo la ubalozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) mjini Tripoli wakilalamikia hatua ya serikali ya Abu Dhabi ya kufikia makubaliano ya kuwa na uhusiano wa kawaida na utawala dhalimu wa Israel.

  • Wapiganaji wa Janjaveed wa Sudan wapelekwa Libya kujiunga na Haftar

    Wapiganaji wa Janjaveed wa Sudan wapelekwa Libya kujiunga na Haftar

    Aug 11, 2020 11:23

    Jeshi la Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa nchini Libya limetangaza kuwa mfasara uliokuwa na magari 70 ya kijeshi yakibeba silaha na mamluki wa kundi la Janjaweed umevuka maeneo maarufu kama Hilali ya Mafuta ya Libya ukiuelekea katika mji wa Sirte kwa ajili ya kumsaidia jenerali muasi, Khalifa Haftar.

  • Mkuu wa Shirika la Mafuata Libya: Maafa makubwa zaidi ya yale ya mlipuko wa Beirut yanainyemelea Libya

    Mkuu wa Shirika la Mafuata Libya: Maafa makubwa zaidi ya yale ya mlipuko wa Beirut yanainyemelea Libya

    Aug 10, 2020 04:25

    Mkuu wa Bodi ya Shirika la Taifa la Mafuta nchini Libya ametahadharisha kuwa maafa makubwa zaidi kuliko yale yaliyosababishwa na mlipuko uliotokea katika bandari ya Beiruti yanainyemelea Libya kutokana na kusitisha uuzaji nje mafuta ya nchi hiyo na kurundikwa bidhaa hiyo katika maghala.

  • Jeshi la Libya: Russia inatuma silaha huko Libya

    Jeshi la Libya: Russia inatuma silaha huko Libya

    Aug 03, 2020 07:37

    Jeshi la Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa ya Libya limedai kuwa Russia inatuma wanajeshi na zana za kijeshi katika kituo cha jeshi la anga cha al Jufra nchini Libya.

  • UN yabainisha wasiwasi wake kuhusu uingiliaji wa nchi ajinabi huko Libya

    UN yabainisha wasiwasi wake kuhusu uingiliaji wa nchi ajinabi huko Libya

    Aug 02, 2020 07:58

    Mjumbe wa muda wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Libya amekosoa uingiliaji wa madola ajinabi nchini humo.

  • UN: Kundi la Haftar limeua na kujeruhi raia zaidi ya 280 wa Libya

    UN: Kundi la Haftar limeua na kujeruhi raia zaidi ya 280 wa Libya

    Aug 01, 2020 07:23

    Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, raia zaidi ya 280 wameuliwa na kujeruhiwa katika kipindi cha miezi mitatu na wapiganaji wa kundi linalojiita Jeshi la Taifa la Libya (LNA) linaloongozwa na jenerali muasi Khalifa Haftar.

  • Tunisia yaiunga mkono Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa nchini Libya

    Tunisia yaiunga mkono Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa nchini Libya

    Jul 30, 2020 03:18

    Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Tunisia imetangaza kuwa, nchi hiyo itaendelea kuiunga mkono Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa ya Libya.

  • Fayez al Sarraj asisitiza umuhimu wa mchakato wa kijeshi katika matukio ya Libya

    Fayez al Sarraj asisitiza umuhimu wa mchakato wa kijeshi katika matukio ya Libya

    Jul 28, 2020 10:18

    Waziri Mkuu wa Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa ya Libya amesisitiza kuwa, mchakato wa kiuchumi na kisiasa nchini humo unategemea namna mchakato wa kijeshi utakavyoainishwa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS