-
GNA ya Libya yaiomba Marekani ijenge kituo cha kijeshi nchini humo kukabiliana na ushawishi wa Russia
Feb 23, 2020 08:08Waziri wa Mambo ya Ndani wa Serikali ya Maafikiano ya Kitaifa ya Libya (GNA) ameitaka Marekani ijenge kituo chake cha kijeshi katika nchi hiyo ya Kiafrika kukabiliana na kile alichosema, kuongezeka ushawishi wa Russia nchini humo.
-
Kutangaza utayari Khalifa Haftar wa kukubali usitishaji vita kwa masharti nchini Libya
Feb 23, 2020 07:03Katika hali ambayo, vita nchini Libya vinaendelea na Waziri Mkuu wa Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa Fayez al-Sarraj amesitisha ushiriki wake katika mazungumzo ya Geneva akilalamikia kuendelea mashambulio ya vikosi vya Khalifa Haftar, jenerali huyo muasi ametangaza utayari wake wa kuheshimu usitishaji vita lakini kwa masharti.
-
UN: Mazungumzo ya usitishaji vita Libya yameanza tena mjini Geneva
Feb 21, 2020 14:54Umoja wa Mataifa umetangaza leo kuwa, mazungumzo ya usitishaji vita nchini Libya baina ya vikosi vinavyopigania kuudhibiti mji mkuu wa nchi hiyo Tripoli, yameanza tena mjini Geneva, Uswisi siku kadhaa baada ya serikali ya Libya inayotambuliwa kimataifa kujitoa kwenye mazungumzo hayo kufuatia hatua ya mrengo hasimu ya kushambulia bandari ya Tripoli.
-
Serikali ya Maafikiano ya Kitaifa ya Libya yasitisha ushiriki wake katika mazungumzo ya Geneva
Feb 20, 2020 04:23Mashambulizi yanayoendelea kufanywa na lile linalojiita Jeshi la Taifa la Libya chini ya uongozi wa jenerali mstaafu Khalifa Haftari dhidi ya taasisi za mafuta na Bandari ya Tripoli yameilazimisha Serikali ya Maafikiano ya Kitaifa ya Libya kusitisha ushiriki wake katika mazungumzo ya amani ya Geneva yenye lengo la kufikiwa mapano ya kusimamisha vita nchini Libya.
-
Serikali ya Libya yasimamisha mazungumzo ya amani baada ya Haftar kushambulia bandari
Feb 19, 2020 03:55Serikali ya Maafikiano ya Kitaifa ya Libya (GNA) inayotambuliwa rasmi na Umoja wa Mataifa imetangaza kuwa haitaendelea kushiriki mkutano wa amani wa UN mjini Geneva, baada ya kukiukwa makubaliano dhaifu ya usitishaji vita.
-
UN; Nchi 4 zinahusika na mashambulizi ya droni ya Haftar huko Libya
Feb 18, 2020 13:45Afisa wa ngazi ya juu wa Umoja wa Mataifa ametanagza kuwa Misri, Imarati, Jordan na Russia zinahusika katika mashambulizi ya ndege zisizo na rubani ya wanamgambo wanaoongozwa na Jenerali Khalifa Haftar huko Libya.
-
Russia yapinga madai ya Rais wa Uturuki kuhusiana na vita vya Libya
Feb 18, 2020 01:39Serikali ya Russia imetoa radiamali dhidi ya matamshi ya Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki aliyesema kuwa, Russia inaingilia vita nchini Libya na kueleza kuwa, matamshi hayo hayana ukweli wowote.
-
Umoja wa Mataifa wakosoa ukiukwaji wa vikwazo vya silaha dhidi ya Libya
Feb 17, 2020 03:32Afisa wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Libya amekosoa ukiukwaji wa vikwazo vya siliha viliyowekwa na umoja huo dhidi ya Libya.
-
Serikali ya Maafikiano ya Kitaifa ya Libya yakosoa uingiliaji wa kigeni katika masuala ya nchi hiyo
Feb 16, 2020 11:52Serikali ya Maafikiano ya Kitaifa ya Libya imekosoa uingiliaji wa nchi za kigeni na misaada yao kwa wapigani wa jenerali muasi, Khalifa Haftar.
-
Haftar akataa kutekeleza azimio la UN la wito wa kusitisha vita nchini Libya
Feb 15, 2020 13:53Kamanda wa kundi linalojiita Jeshi la Taifa la Libya (LNA) amekataa kutekeleza azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linalozitaka pande zinazopigana nchini Libya kusitisha vita.