Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Libya

  • Ufaransa yamwalika Haftar, kinara wa uasi Libya

    Ufaransa yamwalika Haftar, kinara wa uasi Libya

    Feb 14, 2020 12:17

    Serikali ya Ufaransa imemualika mbabe wa kivita nchini Libya Jenerali Haftar ambaye ametenda jinai katika mkakati wake wa kuiondoa madarakani serikali ya Libya inayotambuliwa rasmi na Umoja wa Mataifa.

  • Vikosi vya Haftar vyapiga marufuku ndege za UN kutumia uwanja wa ndege wa mji mkuu wa Libya

    Vikosi vya Haftar vyapiga marufuku ndege za UN kutumia uwanja wa ndege wa mji mkuu wa Libya

    Feb 13, 2020 07:25

    Msemaji wa vikosi vya wapiganaji wanaojiita Jeshi la Taifa la Libya (LNA) vinavyoongozwa na Khalifa Haftar amesema, vikosi hivyo havitaruhusu ndege za Umoja wa Mataifa kutumia uwanja pekee wa ndege unaofanya kazi katika mji mkuu wa nchi hiyo, Tripoli.

  • Azimio la Baraza la Usalama la UN la kutamatisha vita Libya

    Azimio la Baraza la Usalama la UN la kutamatisha vita Libya

    Feb 12, 2020 07:29

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linatazamiwa kulipigia kura azimio lenye vipengee 55 vinavyoainisha ramani ya njia ya kutamatisha kikamlifu vita na mapigano nchini Libya.

  • Al Sisi atahadharisha kuhusu kupelekwa magaidi wa Syria katika nchi ya Libya

    Al Sisi atahadharisha kuhusu kupelekwa magaidi wa Syria katika nchi ya Libya

    Feb 09, 2020 02:42

    Rais wa Miisri ametahadharisha kuwa kuhamisha magaidi walioko Syria na kuwapelekwa Libya kutakuwa na matokeo hatari kwa nchi zote jirani za Kiafrika.

  • Hali mbaya ya Libya, Yemen na Syria yamsikitisha Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa

    Hali mbaya ya Libya, Yemen na Syria yamsikitisha Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa

    Feb 05, 2020 12:48

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa anasikitishwa sana na hali mbaya ilivyo katika nchi zenye migogoro za Libya na Syria.

  • Misri yatahadharisha kuhusu madola ya kigeni kuingilia masuala ya ndani ya Libya

    Misri yatahadharisha kuhusu madola ya kigeni kuingilia masuala ya ndani ya Libya

    Feb 03, 2020 03:06

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri ametahadharisha kuhusu madhara yanayosababishwa na madola ajinabi ya kuingilia masuala ya ndani ya Libya.

  • Wapiganaji wa Haftar: Uturuki ina askari 3000 nchini Libya

    Wapiganaji wa Haftar: Uturuki ina askari 3000 nchini Libya

    Jan 30, 2020 13:36

    Msemaji wa vikosi vya kundi la wapiganaji linalojiita 'Jeshi la Kitaifa la Libya' amesema kuwa Uturuki imetuma askari 3000 nchini Libya.

  • Ripoti ya Independent: Kengele za vita zasikika zaidi katika milango ya Libya

    Ripoti ya Independent: Kengele za vita zasikika zaidi katika milango ya Libya

    Jan 29, 2020 15:05

    Ripoti iliyotolewa na gazeti la Independent la Uingereza imefichua kuwa, mapatano tete ya kusitisha vita yaliyofikiwa hivi karibuni baina ya madola makubwa mjini Berlin huko Ujerumani yanaelekea kuporomoka kutokana na mashambulizi ya anga yanayoshuhudiwa sasa nchini Libya na vitisho vinavyoendelea kutolewa na pande hasimu.

  • Kuendelea mgogoro nchini Libya, Haftar azidi kupiga ngoma ya vita

    Kuendelea mgogoro nchini Libya, Haftar azidi kupiga ngoma ya vita

    Jan 28, 2020 06:22

    Vita nchini Libya vimeanza upya licha ya kuweko juhudi kubwa za kimataifa za kuutafutia ufumbuzi wa kisiasa mgogoro wa nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika. Juhudi mbalimbali za kuyakusanya pamoja makundi hasimu ya Libya zilizofanyika katika nchi mbalimbali kama Moscow Russia, Berlin Ujerumani na Algiers nchini Algeria zimeshindwa kutuliza hali ya mambo nchini humo.

  • Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa Libya yatahadharisha kuhusu mbinu chafu za kundi la Haftar

    Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa Libya yatahadharisha kuhusu mbinu chafu za kundi la Haftar

    Jan 28, 2020 02:47

    Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa ya Libya imetahadharisha kuhusu vizingiti vinavyowekwa na Khalifa Haftar katika njia ya mazungumzo ya kisiasa nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS