-
Msemaji wa Haftar: Mgogoro wa Libya hauwezi kutatuliwa kisiasa
Jan 27, 2020 08:15Msemaji wa vikosi vinavyojiita Jeshi la Taifa la Libya (Libyan National Army) vinavyoongozwa na Jenerali muasi Khalifa Haftar amesema kuwa, mgogoro wa nchi hiyo hauwezi kupatiwa ufumbuzi kupitia njia za kisiasa.
-
Shirika la Mafuta la Taifa Libya: Uzalishaji umepungua kwa asilimia 75 kutokana na vizuizi vya wanamgambo wa Haftar
Jan 26, 2020 07:18Kampuni ya Taifa ya Mafuta ya Libya (NOC) imesema kuwa, uzalishaji wake umepungua kwa asilimia 75 tangu wanamgambo wa Jenerali Khalifa Haftar waliposhambulia na kudhibiti visima vya mafuta nchini humo wiki iliyopita.
-
Wasudan wapinga kuwepo kwa raia wa nchi hiyo katika vita vya Libya na Yemen
Jan 26, 2020 05:58Wasudani wamepinga uingiliaji wa Imarati katika masuala ya ndani ya nchi nyingine na mikakati ya Abu Dhabi ya kuwataka raia wa kigeni wanaoishi Imarati wakiwemo Wasudani kushiriki katika vita na mapigano yanayoendelea huko Libya na Yemen.
-
Ghassan Salamé: Pande hasimu Libya zimeafiki kuundwa Kamati ya Pamoja ya Kijeshi chini ya usimamizi wa Umoja wa Mataifa
Jan 26, 2020 02:52Pande mbili hasinu nchini Libya zimeafiki mpango wa kuundwa Kamati ya Pamoja ya Kijeshi chini ya usimamizi wa Umoja wa Mataifa.
-
Benki Kuu ya Libya yatahadharisha kuhusu madhara ya marufuku ya kuuza mafuta ya nchi hiyo
Jan 25, 2020 11:40Gavana wa Benki Kuu ya Libya ametahadharisha kuhusu madhara makubwa ya kuzuiwa uuzaji mafuta ya nchi hiyo akisema kuwa, huo ni msumari wa mwisho katika jeneza la nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Ujerumani: Wasioheshimu usimamishaji vita Libya wasusiwe
Jan 24, 2020 06:12Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumaini amesema katika kikao cha Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi zinazopakana na Libya huko Algiers, mji mkuu wa Algeria kwamba, wale wote wasioheshimu usitishaji vita nchini Libya inabidi wawekewe vikwazo za Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
-
Mawaziri wa mambo ya nje wa nchi zinazopakana na Libya wakutana Algeria
Jan 23, 2020 07:41Algeria leo itakuwa mwenyeji wa kikao cha mawaziri wa mambo ya nje wa nchi zinazopakana na Libya kitakachojadili mgogoro unaoendelea nchini humo.
-
Uwanja wa Ndege wa Tripoli Libya wafungwa tena baada ya kushambuliwa kwa maroketi
Jan 23, 2020 02:28Uwanja pekee wa ndege unaofanya kazi mjini Tripoli Libya ulifungwa tena jana Jumatano baada ya kushambuliwa kwa maroketi.
-
Mgogoro wa Libya na jitihada za kuutafutia ufumbuzi
Jan 23, 2020 02:26Nchi ya Libya imo katika siku ngumu na mgogoro mkubwa, na vita na mapigano makali yameendelea kushuhudiwa nchini humo licha juhudi kubwa za kimataifa zinazofanyika kwa ajili ya kupata ufumbuzi wa mgogoro huo.
-
Shirila la Mafuta la Taifa Libya lakataa takwa la Marekani
Jan 22, 2020 08:19Shirika la Mafuta la Taifa la Libya limekataa takwa la Marekani la kuanza tena shughuli zake na kutangaza kuwa, takwa hilo la serikali ya Washington haliwezi kutekelezwa.