-
Libya katika kinamasi cha mapigano ya ndani na uingiliaji wa madola ajnabi
Apr 24, 2019 06:28Mapigano nchini Libya hasa katika mji wa Tripoli na pambizoni mwake yanakuwa makali siku baada ya siku. Duru za kijeshi za Serikali ya Umoja wa Kitaifa zimetangaza kuwa, vikosi vyake vimefanikiwa kudhibiti sehemu kubwa ya uwanja wa ndege wa Tripoli. Hata hivyo wapiganaji wa Jenerali Khalifa Haftar wamedai kuwa wamekaribia mno kuingia katikati ya Tripoli.
-
Vikosi vya Serikali ya Maafikiano ya Kitaifa Libya vyadhibiti sehemu muhimu ya Uwanja wa Ndege wa Tripoli
Apr 23, 2019 07:07Vikosi vya Serikali ya Maafikiano ya Kitaifa ya Libya inayoungwa mkono na Umoja wa Mataifa kwa sasa inadhibiti sehemu muhimu ya Uwanja wa Ndege wa Tripoli, mji mkuu wa nchi hiyo.
-
Radiamali ya Wademocrats dhidi ya uungaji mkono wa Rais Donald Trump kwa jenerali Khalifa Haftar
Apr 22, 2019 07:12Nchi yenye utajiri wa mafuta ya Libya ambayo kijiografia ipo kaskazini mwa Afrika, imekuwa ikishuhudia vurugu, machafuko na vita vya ndani tangu mwaka 2011.
-
Msimamo wa Marekani unaokinzana na wa dunia kuhusu mgogoro wa Libya
Apr 21, 2019 02:34Mapigano mapya yaliyoanzishwa na Jenerali Khalifa Haftar anayeungwa mkono na Saudi Arabia, Umoja wa Falme za Kiarabu na Misri huko Libya umeifanya nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika irejee katika ajenda muhimu za kisiasa duniani huku kukiwa na mitazamo tofauti kuhusu namna ya kuutatua mgogoro huo.
-
Walibya waandamana kulaani hatua ya Trump kumpigia simu Jenerali Haftar
Apr 20, 2019 13:07Wananchi wa Libya wamefanya maandamano mjini Tripoli kukosoa hatua ya Rais Donald Trump kumpigia simu jenerali muasi Khalifa Haftar mwenye makao yake katika mji wa Benghazi, magharibi mwa Libya, na ambaye amekuwa akiendesha kampeni ya kijeshi ya kutaka kuuteka mji mkuu Tripoli.
-
Mapigano makali ya siku 16 Libya na kushindwa wapiganaji wa Khalifa Haftar viungani mwa Tripoli
Apr 20, 2019 04:22Katika siku ya 16 ya mapigano makali nchini Libya, hatimaye wapiganaji wa serikali ya umoja wa kitaifa, wamefanikiwa kudhibiti mji muhimu wa Garyan, kusini magharibi mwa mji wa Tripoli, mji mkuu wa nchi hiyo.
-
Libya yaituhumu Ufaransa kuwa inachochea vita nchini humo kwa kumuunga mkono Haftar
Apr 19, 2019 07:52Serikali ya Libya inayotambuliwa kimataifa inaituhumu serikali ya Ufaransa kuwa inahusika katika kuchochea mapigano makali yanayoshuhudiwa katika nchi hiyo hiyo ya kaskazini mwa Afrika
-
WHO: Idadi ya waliouawa katika mapigano ya Tripoli, Libya yapindukia watu 200
Apr 18, 2019 13:25Shirika la Afya Duniani WHO limesema kuwa, idadi ya watu waliopoteza maisha katika mashambulizi ya vikosi vya Jenerali Khalifa Haftar vya kutaka kuudhibiti mji mkuu wa Libya, Tripoli imeongezeka na kufikia watu 205.
-
Zarif azuru Uturuki kujadili masuala ya Syria na Libya
Apr 17, 2019 07:40Mohammad Javad Zarif Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameitembelea Uturuki kwa ajili ya kujadiliana na viongozi wa nchi hiyo masuala ya uhusiano wa nchi mbili, kurejeshwa amani Syria na vilevile matukio ya hivi karibuni katika eneo la kaskazini mwa Afrika.
-
Elfu 18 wakimbia mapigano Libya
Apr 17, 2019 07:23Umoja wa Mataifa umetangaza kwamba watu wasiopungua 18,000 wamekimbia mapigano makali yanayoendelea kati ya jeshi linalojiita kuwa la kitaifa na la serikali ya muungano wa kitaifa huko Tripoli nchini Libya