-
Qatar yataka Jenerali Haftar wa Libya awekewe vikwazo vya silaha
Apr 17, 2019 02:30Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar ametoa mwito wa kuwekewa vikwazo vya silaha Jenerali Khalifa Haftar na vikosi vyake vinavyofanya mashambulizi ya kudhibiti mji mkuu wa Libya, Tripoli.
-
Mjumbe wa UN Libya: Harakati za Khalifa Haftar ni za kimapinduzi
Apr 16, 2019 14:18Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa nchini Libya amesema mienendo na harakati zinazofanywa na Jenerali Khalifa Haftar na vikosi vyake ni za kimapinduzi na wala hazifanani na harakati za kupambana na ugaidi kama anavyodai yeye.
-
Misri yaunga mkono mashambulizi ya vikosi vya Haftar nchini Libya
Apr 15, 2019 08:02Rais wa Misri Abdel Fattah al-Sisi ametangaza kuwa anaunga mkono mashambulizi yanayofaywa na vikosi vya Jenerali Khalifa Haftar yenye lengo la kuudhibiti mji mkuu wa Libya, Tripoli.
-
Spika wa Bunge Tobrok Libya amuunga mkono Haftar, watu 121 wauawa, 516 wajeruhiwa
Apr 14, 2019 16:48Spika wa Bunge la Libya ametangaza kumuunga mkono Jenerali Khalifa Haftar huku mapigano yakiendelea katika mji mkuu wa nchi hiyo, Tripoli.
-
Saudia ilimpa Haftar mamilioni ya dola kabla ya kuanza hujuma Tripoli, Libya
Apr 14, 2019 02:34Siku kadhaa kabla ya jenerali muasi Libya, Khalifa Haftar kuanzisha hujuma dhidi ya mji, mkuu wa nchi hiyo, Tripoli, Saudi Arabia ilikuwa imekabidhi mamilioni ya dola ili kutekeleza oparesheni hiyo.
-
UN yasikitishwa na hali mbaya ya kibinadamu mjini Tripoli, Libya
Apr 13, 2019 13:04Msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, umoja huo unahuzunishwa mno na hali mbaya ya raia wa Libya katika mapigano yanayoendelea kwenye mji mkuu wa nchi hiyo, Tripoli.
-
UN: Watu 56 wameuawa katika mapigano yanayoendelea Libya
Apr 11, 2019 13:58Umoja wa Mataifa umesema mapigano kati ya vikosi vya Serikali ya Maafikiano ya Kitaifa na vile vinavyoongozwa na Jenerali Khalifa Haftar nchini Libya yamesababisha watu 56 kupoteza maisha kufikia sasa.
-
Maelfu ya watu wawa wakimbizi kutokana na mapigano nchini Libya
Apr 11, 2019 01:02Umoja wa Mataifa umetangaza kwamba mapigano ya hivi sasa ya nchini Libya yameshapelekea watu 4500 wa nchi hiyo kuwa wakimbizi.
-
Kongamano la 'amani na uchaguzi' Libya laakhirishwa kutokana na mapigano
Apr 10, 2019 07:46Mkutano wa kujadili mgogoro wa Libya na maandalizi ya uchaguzi ujao nchini humo uliotazamiwa kufanyika kati ya Aprili 14 na 16 magharibi mwa nchi hiyo yenye utajiri wa mafuta umeakhirishwa kutokana na kushadidi mapigano kati ya vikosi vya Serikali ya Maafikiano ya Kitaifa na vile vinavyoongozwa na Jenerali Khalifa Haftar.
-
UNICEF: Maisha ya watoto 500,000 wa Kilibya yapo hatarini
Apr 10, 2019 04:36Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF umetangaza kuwa, maisha ya watoto 500,000 nchini Libya yapo hatarini kutokana na kuibuka mapigano mapya katika mji mkuu wa nchi hiyo Tripoli.