-
Gadi ya Taifa yaundwa katika mji mkuu wa Libya,Tripoli
Feb 10, 2017 15:35Kikosi cha jeshi kwa jina la "Gadi ya Taifa" chenye mfungamano na Serikali ya Wokovu ya Libya kimeasisiwa katika mji mkuu wa nchi hiyo, Tripoli.
-
Mahakama ya Tunisia yamuhukumu kifungo cha miaka 10 rais wa zamani wa nchi hiyo kwa ufisadi
Feb 10, 2017 04:30Mahakama nchini Tunisia imetoa hukumu ya kifungo cha miaka 10 jela bila kuwepo mahakamani, dhidi ya Zine El Abidine Ben Ali, rais wa zamani wa nchi hiyo aliyeondolewa madarakani na wananchi na hatimaye kutoroka nchi hiyo.
-
Kupinga Libya suala la kupatiwa makazi wahajiri katika ardhi ya nchi hiyo
Feb 07, 2017 13:07Katika hali ambayo, Libya ingali inakabiliwa na changamoto kubwa za kisiasa na kiuchumi, suala la wahajiri wanaoelekea Ulaya kupitia nchi hiyo nalo limegeuka na kuwa tatizo jingine kubwa kwa nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Mgogoro wa Libya; ajenda kuu ya mazungumzo ya kieneo na kimataifa
Feb 07, 2017 04:02Huku mgogoro wa kisiasa ukiendelea huko Libya, mashauriano ya kulipatia ufumbuzi tatizo la nchi hiyo yameendelea huko Malta kwa kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wakiwemo viongozi kutoka nchi jirani na vile vile Mjumbe wa Umoja wa Mataifa katika Masuala ya Libya.
-
Wahajiri wengine 120 wa Kiafrika waokolewa katika pwani ya Libya
Feb 05, 2017 14:17Kikosi cha ulinzi katika pwani ya Libya kimearifu kuwa wahajiri zaidi ya 120 wameokolewa majini karibu na bandari ya Tripoli kaskazini magharibi mwa nchi hiyo.
-
Mkutano kuhusu Libya nchini Marekani wafutwa kutokana na amri ya Trump
Feb 04, 2017 07:57Mkutano kuhusu Libya uliokuwa umepangwa kufanyika nchini Marekani tarehe 16 mwezi huu umefutwa kutokana amri ya rais Donald Trump ya kupiga marufuku raia wa nchi saba za Kiislamu ikiwemo Libya kuingia nchini humo.
-
Algeria yayataka madola ya kigeni yasiingilie masuala ya ndani ya Libya
Jan 28, 2017 07:38Algeria imetoa wito wa kutatuliwa mgogoro wa Libya kupitia njia ya mazungumzo kwa kuyashirikisha makundi na pande zote bila ya uingiliaji wa madola ya kigeni.
-
Sisitizo la Mogherini kuhusu msimamo wa Umoja wa Ulaya juu ya kadhia ya Libya
Jan 26, 2017 12:55Federica Mogherini, Mkuu wa Siasa za Nje za Umoja wa Ulaya amesema kuwa, umoja huo hauna nia ya kuipa Libya pendekezo lile lile uliloipa Uturuki kuhusiana na wakimbizi.
-
Wahajiri zaidi ya 100 wahofiwa kufa maji Bahari ya Mediterranea
Jan 15, 2017 14:47Makumi ya wahajiri wanahofiwa kupoteza maisha baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kwenda bara Ulaya kuzama katika Bahari ya Mediterranea.
-
Gaddafi: Baba yangu hakumteka nyara Imam Musa Sadr
Jan 15, 2017 07:18Hannibal Muammar Gaddafi, mwana wa kiume wa kiongozi wa zamani wa Libya Kanali Muammar Gaddafi amsema kuwa, Waziri Mkuu wa zamani wa nchi hiyo ndiye aliyemteka nyara Imam Musa Sadr