-
UN yasisitiza kupatiwa ufumbuzi mgogoro wa Libya mwaka huu
Jan 08, 2017 13:09Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Libya amesema kuwa, mwaka huu wa 2017 unapaswa kuwa mwaka wa kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Libya na kurejesha amani nchini humo.
-
Mgogoro wa kisiasa na kuongezeka ukosefu wa usalama nchini Libya
Jan 06, 2017 13:39Wakati Fayez al Sarraj, Waziri Mkuu wa serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya akifuta maamuzi yote ya Baraza la Uongozi la nchi hiyo, Martin Kobler, mwakilishi maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Libya ameelezea wasiwasi wake kufuatia kushtadi mapigano, kusini mwa nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Khalifa Haftar apinga kufanya mazungumzo na serikali ya umoja wa kitaifa Libya
Jan 04, 2017 16:19Kamanda wa majeshi ya Libya mashariki mwa nchi hiyo amekanusha madai ya kufanyika mazungumzo ya aina yoyote kati yake na serikali huko magharibi mwa nchi hiyo katika siku zijazo.
-
Kujiuzulu Makamu wa Rais wa serikali ya maafikiano ya kitaifa Libya; kuendelea mgogoro wa kisiasa wa nchi hiyo
Jan 04, 2017 07:58Makamu wa Rais wa serikali ya maafikiano ya kitaifa ya Libya amejiuzulu hatua ambayo inaonesha kuendelea mgogoro wa kisiasa wa nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Kujiuzulu Makamu wa Rais wa serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya
Jan 03, 2017 06:26Makamu wa Rais wa serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya amejizulu wadhifa wake.
-
Askari 260 za Jenerali Haftar wameuawa Libya
Jan 02, 2017 05:51Jeshi la wapiganaji wanaopinga Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Libya limetangaza kuwa, zaidi ya askari wake 260 wameuawa katika mapigano ya mji wa Benghazi huko mashariki mwa nchi hiyo.
-
Miili ya wahajiri 11 yapatikana ufuoni mjini Tripoli, Libya
Dec 28, 2016 14:17Shirika la Hilali Nyekundu la Libya limesema miili 11 ya wahajiri waliokufa maji wakijaribu kuelekea barani Ulaya imepatikana katika fuo za mji mkuu wa Libya, Tripoli.
-
Jeshi la Libya lasimamisha oparesheni katika eneo la Qanfuda
Dec 23, 2016 03:57Msemaji wa vikosi vya ulinzi vya Libya amesema kuwa vikosi hivyo vimesimamisha operesheni ya kijeshi katika eneo la Qanfuda magharibi mwa mji wa Benghazi wa kaskazini mashariki mwa nchi hiyo ili kuwalinda raia.
-
Jeshi la Marekani lahitimisha rasmi operesheni zake Sirte, Libya
Dec 21, 2016 14:45Jeshi la Marekani limetamatisha rasmi operesheni zake katika mji wa pwani wa Sirte nchini Libya, ambao hivi karibuni ulikombolewa kikamilifu toka mikononi mwa magaidi wa Daesh.
-
Umoja wa Mataifa watoa wito wa maridhiano ya kitaifa Libya
Dec 19, 2016 04:25Umoja wa Mataifa sanjari na kuvipongeza vikosi vitiifu vya Serikali ya Umoja wa Kitaifa nchini Libya kwa kuudhibiti kikamilifu mji wa pwani wa Sirte na kuukomboa kutoka mikononi mwa kundi la kigaidi la Daesh, umewataka wananchi wote wa nchi hiyo kushirikiana katika mchakato wa maridhiano ya kitaifa.