-
Kutamba Khalifa Haftar huko Libya
Dec 18, 2016 08:14Katika hali ambayo jeshi la Libya linaloongozwa na Kamanda Khalifa Haftar linajiandaa kukabiliana na watu ambao limewataja kuwa ni makundi yenye misimamo mikali huko Tripoli mji mkuu wa nchi hiyo, kamanda wa oparesheni ya kuukomboa mji wa Sirte mashariki mwa Tripoli amemuarifisha mtawala wa kijeshi wa mji huo.
-
Mapigano ya kuwania maeneo ya mafuta yapamba moto Libya
Dec 08, 2016 03:08Msemaji wa vikosi vya kulinda bandari za mafuta nchini Libya ametangaza habari ya kuongezeka mapigano karibu na taasisi muhimu za mafuta za nchi hiyo.
-
Jeshi la serikali Libya ladhibiti kikamilifu mji wa Sirte
Dec 06, 2016 03:37Vikosi vya jeshi la Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Libya vinaudhibiti kikamilifu mji wa Sirte kaskazini mwa Libya.
-
Makumi ya raia waokolewa kutoka mikononi mwa magaidi nchini Libya
Dec 04, 2016 07:27Habari kutoka nchini Libya zinasema kuwa, jeshi la serikali ya umoja wa kitaifa ya nchi hiyo limefanikiwa kuwaokoa makumi ya raia waliokuwa wametekwa nyara na genge la kigaidi na la wakufurishaji la Daesh mjini Sirte.
-
Watu wanane wauawa katika mapigano nchini Libya
Dec 02, 2016 07:41Kwa akali watu wanane wameripotiwa kuuawa katika mapigano mapya yaliyotokea katika mji mkuu wa Libya, Tripoli.
-
Wasiwasi wa kuzidi kuongezeka mgogoro wa kibinadamu nchini Libya
Dec 02, 2016 06:26Kuzidi kuwa mkubwa mgogoro wa kisiasa nchini Libya kumemfanya mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa aelezee masikitiko yake makubwa kuhusiana na hali mbaya ya kibinadamu na kiusalama ya nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
UN: Hali ya kibinadamu nchini Libya inatisha
Dec 01, 2016 04:09Mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa nchini Libya amesema, hali ya kibinadamu na kiusalama nchini humo ni ya kutia wasiwasi mkubwa.
-
Libya kustafidi na uzoefu wa kiusalama wa Russia katika kupambana na ugaidi
Nov 30, 2016 02:49Kamanda Mkuu wa vikosi vya Libya mashariki mwa nchi hiyo ametaka kutumiwa uzoefu wa kiusalama wa Russia katika mapambano dhidi ya ugaidi.
-
Libya; njia kuu ya wahajiri wengi
Nov 23, 2016 15:17Shirika la Kimataifa la Wahajiri limetangaza kuwa Libya ni njia kuu inayotumiwa na wahajiri wengi licha ya nchi hiyo kukabiliwa na mgogoro wa ndani.
-
ICC yachunguza magendo ya wahajiri wa Kiafrika nchini Libya
Nov 23, 2016 08:00Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC imeanzisha uchunguzi juu ya biashara haramu ya kuwasafirisha wahajiri wa Kiafrika wanaopelekwa barani Ulaya kupitia usafiri hatari wa baharini.