-
Uingereza yakiri kuhusu jinai za kemikamli za utawala wa Baath dhidi ya Iran
Jun 25, 2018 02:55Wizara ya Mambo ya Nje ya Uingereza bila ya kuashiria nafasi ya nchi hiyo na waitifaki wake wa Magharibi katika kuunga mkono na kuusaidia utawala wa Saddam huko Iraq, umekiri kuwa utawala huo ulitenda jinai katika vita dhidi ya Iran.
-
Meya wa London: Trump inabidi aombe radhi rasmi
Apr 30, 2018 04:06Meya wa jiji la London Sadiq Khan amemtaka Rais Donald Trump wa Marekani atoe tamko rasmi la kuomba radhi.
-
Wananchi wa Uingereza: Tutaandamana dhidi ya Trump
Apr 27, 2018 08:04Makumi ya maelfu ya wananchi wa Uingereza wametangaza kuwa wapo tayari kushiriki katika maandamano dhidi ya ziara ya Rais Donald Trump wa Mareani mjini London.
-
Waingereza waandamana kuonyesha mshikamano wao na Wapalestina
Apr 01, 2018 17:21Wananchi na makundi ya kiraia katika mji wa London nchini Uingereza wamefanya maandamano wakitangaza uungaji mkono wao kwa wananchi wa Palestina na kulaani jinai wanazofanyiwa na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Sambamba na kuanza mwaka mpya, watu wanne wauawa kwa silaha baridi katika viunga vya London
Jan 02, 2018 04:14Polisi ya London imetangaza kuwa sambamba na kuanza mwaka mpya wa 2018 kumesajiliwa mashambulizi kadhaa ya silaha baridi katika mji huo mkuu wa Uingereza.
-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi na sauti-1
Sep 02, 2017 14:50Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya kwanza ya makala yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla huko katika nchi za Magharibi.
-
Ijumaa, Julai 7, 2017
Jul 07, 2017 03:46Leo ni Ijumaa tarehe 12 Mfunguo Mosi, Shawwal 1438 Hijria, sawa na 07 Julai 2017 Milaadia.
-
Waziri Mkuu wa Uingereza ataka misikiti ilindwe baada ya gaidi kushambulia Waislamu, London
Jun 20, 2017 02:33Waziri Mkuu wa Uingereza ametoa wito wa kuzidishwa ulinzi wa misikiti ya Waislamu baada ya gaidi kushambulia Waislamu waliokuwa wamekamilisha ibada ya Swala mjini London.
-
Shambulio la kigaidi lawalenga Waislamu wa Uingereza waliokuwa wanatoka msikitini; mmoja auawa na 10 wajeruhiwa
Jun 19, 2017 08:03Kwa akali mtu mmoja ameuawa na wengine 10 wamejeruhiwa katika shambulio la kigaidi lililowalenga Waislamu waliokuwa wanatoka msikitini usiku wa kuamkia leo katika eneo la Bustani ya Finsbury kaskazini mwa mji mkuu wa Uingereza, London.
-
Waingereza waitaka serikali kutoa sababu ya kuteketea jengo kongwe, Waislamu wasifiwa
Jun 17, 2017 04:34Kufuatia tukio la kuteketea moto jengo kongwe mjini London, wakazi wa mji huo wameitaka serikali ya Uingereza kutaja chanzo cha moto huo ambao umesababisha hasara kubwa ya mali na roho.