-
Watu tisa wauawa katika shambulio la kigaidi la London
Jun 04, 2017 04:07Watu wasiopungua saba wameuawa na wengine kadhaa kujruhiwa kufuatia shambulio la kigaidi lililotokea katika mji mkuu wa Uingereza London.
-
Rais wa Somalia aomba msaada wa kimataifa
May 12, 2017 03:42Rais Mohamed Abdullahi Mohamed wa Somalia ameiuomba jamii ya kimataifa iisaidie nchi yake katika kupambana na ugaidi, ufisadi na umaskini wa kuchupa mipaka; mambo ambayo amesema ndiye adui mkuu wa nchi hiyo.
-
Waislamu na wanaharakati waandamana London, Uingereza dhidi ya Israel
May 07, 2017 13:22Mamia ya Waislamu nchini Uingereza wamefanya maandamano katika mji mkuu London kulaani ukaliaji wa mabavu na upanuzi wa vitongoji vya walowezi za Kiyahudi katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Kamanda wa jeshi la Saudia apigwa mayai Uingereza
Mar 31, 2017 07:25Ahmed al-Asiri, mshauri wa Wizara ya Ulinzi ya Saudia na msemaji wa muungano vamizi wa Saudia dhidi ya Yemen, ameshambuliwa na waandamanaji wanaopinga hujuma za utawala wa Aal-Saud nchini Yemen na kupigwa mayai mabovu.
-
Mhusika wa shambulio la London atajwa; majeruhi mwengine afariki dunia
Mar 24, 2017 04:32Polisi ya Uingereza imetangaza kuwa mtu aliyehusika na shambulio la Jumatano kwenye kitovu cha mji mkuu wa nchi hiyo, London ni Khalid Masood mwenye umri wa miaka 52 ambaye ni mzaliwa wa Uingereza.
-
Daesh yatangaza kuhusika na shambulizi la kigaidi Uingereza, Iran yalaani hujuma hiyo
Mar 23, 2017 16:01Kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) limetangaza kuhusika katika hujuma ya kigaidi nchini Uingereza ambayo limepelekea kwa akali watu watano kuuawa na wengine 40 kujeruhiwa.
-
Watano wauawa London katika hujuma ya kigaidi, makumi wajeruhiwa
Mar 23, 2017 03:07Watu watano wameuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa baada ya mtu mmoja kushambulia watu waliokuwa wakitembea kwa miguu kwa kuwagonga kwa gari nje kidogo ya jengo la Bunge la Uingireza mjini London.
-
Maelfu waandamana London, Uingereza kulaani chuki dhidi ya Uislamu
Mar 19, 2017 07:46Maelfu ya watu wamejitokeza mabarabarani katika mji mkuu wa Uingereza, London kushiriki maandamano ya kulaani chuki na uenezaji hofu dhidi ya Uislamu (Islamophobia) na ubaguzi wa rangi.
-
Mkutano wa London wa kujadili sababu za kuongezeka chuki dhidi ya Uislamu Ulaya
Dec 12, 2016 11:24Mji mkuu wa Uingereza, London siku ya Jumamosi ulikuwa mwenyeji wa mkutano uliofanyika chini ya anuani ya "Mazingira ya Chuki na Utawala wa Kipolisi", mkutano ambao ulihudhuriwa na shakhsia mbalimbali wa kiakademia, vyuo vikuu na wa vyombo vya habari wa Uingereza, nchi zingine za Ulaya pamoja na Marekani.
-
Mamia waandamana London dhidi ya gazeti la Saudia la Sharq Ausat
Nov 24, 2016 05:25Mamia waandamana London dhidi ya gazeti la Saudia la Sharq Ausat Mamia ya watu walifanya maandamano jana mjini London huko Uingereza mbele ya jengo la ofisi za gazeti linalofadhiliwa na Saudi Arabia la al Sharq al Ausat kutokana na kuwavunjia heshima wananchi wa Iraq.