-
Wanachuo US walaani ukatili dhidi ya waandamanaji wanaounga mkono Palestina
Mar 07, 2025 02:32Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Columbia cha Marekani wamekosoa vikali jinsi uongozi wa chuo hicho unavyoshughulikia maandamano ya waungaji mkono wa Palestina, wakiushutumu uongozi huo kwa kusaliti jukumu lale na kuwadhaminia usalama wanafunzi na uhuru wao wa kujieleza.
-
Trump atishia kuzikatia misaada Misri na Jordan na kutaka makubaliano ya kusitisha vita Ghaza yafutwe
Feb 11, 2025 06:52Rais wa Marekani Donald Trump amesema anaweza akafikiria kusitisha msaada kwa Jordan na Misri ikiwa zitakataa kuwapokea Wapalestina, baada ya kutekeleza mpango wake wa kuwahamaisha kwa nguvu wananchi hao katika ardhi yao ya Ukanda wa Ghaza ili kulihodhi na kulimiliki eneo hilo lililowekewa mzingiro.
-
Maelfu waandamana Washington kupinga sera za uhamiaji za Trump
Jan 29, 2025 10:50Maelfu ya watu huko Marekani wamefanya maandamano nje ya Ikulu ya White House mjini Washington DC, kupinga mpango wa Rais wa nchi hiyo, Donald Trump wa kusimamisha ufadhili wa serikali, pamoja na sera zake tata za uhamiaji.
-
Maandamano ya Kwanza Dhidi ya Sera za Trump huko Washington
Jan 21, 2025 14:28Wakati ambapo Donald Trump, rais mteule wa Marekani, ameapishwa rasmi Jumatatu, tarehe 20 Januari, maandamano dhidi ya sera zake tayari yameanza. Katika muktadha huu, maelfu ya Wamarekani, wengi wao wakiwa wanawake, wamekusanyika katika mitaa ya Washington kuandamana dhidi ya sera za Trump.
-
Droni za Yemen zahepa mifumo ya utunguaji ya utawala wa Kizayuni, zapiga Tel Aviv na Ashkelon
Dec 14, 2024 06:27Vikosi vya Jeshi la Yemen vimetangaza kuwa vimefanya mashambulizi ya ndege zisizo na rubani kulenga mji wa Jaffa karibu na Tel Aviv pamoja na mji wa Ashkelon katika eneo la kati la ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu katika operesheni mpya dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Baada ya kuzisuluhisha Ethiopia na Somalia, Erdogan asema yuko tayari kuzipatanisha Sudan na UAE
Dec 14, 2024 06:25Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amesisitizia utayari wa nchi yake wa kuimarisha amani na utulivu wa Sudan, ikilinda utawala wake dhidi ya kuingiliwa na nchi za nje.
-
Netanyahu asema, Miinuko ya Golan ya Syria itakaliwa kinyume cha sheria na Israel hadi 'milele'
Dec 10, 2024 11:31Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni amesema, Miinuko ya Golan ya Syria inayokaliwa kwa mabavu itabaki "milele kuwa sehemu isiyoweza kutenganishwa" na Israel.
-
Maandamano dhidi ya Israel yafanyika katika nchi mbalimbali
Dec 02, 2024 07:07Maelfu ya wafuasi wa wananchi wa Palestina wamefanya maandamano katika miji mingi muhimu duniani ikiwemo Paris, Berlin, Santiago, Amsterdam, Copenhagen, Istanbul, Rome, Manchester na London kulaani mauaji ya kimbari ya utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza na Lebanon.
-
Wananchi wa Morocco waandamana kulaani jinai za Israel
Dec 01, 2024 04:13Maelfu ya wananchi wa Morocco wamefanya maandamano katika miji mbalimbali ya nchi hiyo kuwaunga mkono wananchi wa Palestina na kulaani jinai zinazoendelea kufanywa na jeshi la utawala haramu wa IIsrael katika Ukanda wa Gaza.
-
Maandamano makubwa yafanyika Uhispania kulaani jinai za utawala wa Kizayuni
Nov 27, 2024 06:22Maandamano yamefanyika katika miji tofauti ya Uhispania kuunga mkono Palestina na kulaani jinai za utawala wa Kizayuni.