-
Maandamano ya watetezi wa Palestina yaendelea ulimwenguni
Nov 24, 2024 02:29Wafuasi wa wananchi na wanachuo wa Palestina katika baadhi ya nchi wametoa wito wa kukomeshwa jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya Ghaza na Lebanon kwa mikusanyiko na maandamano.
-
Wananchi wa Morocco na Mauritania waandamana kulaani jinai za Israel
Nov 11, 2024 13:01Wananchi wa Morocco na Mauritania wameandamana na kulaani vikali mashambulio ya utawala haramu za Israel na jinai zake dhidi ya wananchi wa Ukanda wa Gaza na Lebanon.
-
Waingereza waandamana 'Siku ya Balfour' kulaani jinai za Israel Gaza
Nov 03, 2024 06:16Makumi ya maelfu ya watu nchini Uingereza waamemiminika mabarabarani mjini London kushiriki maandamano ya kupinga mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza katika Siku ya Balfour, kumbukizi ya kila mwaka ya kuadhimisha nafasi ya Uingereza katika kuasisiwa utawala wa Kizayuni mwaka 1917.
-
Iran: HAMAS ingali hai, itaendeleza njia yake kwa nguvu zaidi kuliko ilivyokuwa hapo kabla
Oct 20, 2024 07:07Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Abbas Araghchi amesema Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS iko hai na itaendelea kufuata njia yake hiyo hiyo kwa nguvu zaidi kuliko ilivyokuwa hapo kabla licha ya kuuawa shahidi kiongozi wake Yahya Sinwar.
-
Ripoti: US imetumia $ bilioni 22 kuisaidia kijeshi Israel tangu Oktoba 7, kiwango halisi ni zaidi
Oct 09, 2024 02:27Marekani imetumia zaidi ya dola bilioni 22 kwa ajili ya misaada ya kijeshi inayoupatia utawala wa Kizayuni wa Israel na kufadhili uvamizi na mashambulio yaliyofanywa na utawala huo haramu katika eneo hili kwa kipindi cha mwaka mmoja sasa.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza: Vita vya Ukraine vinaweza vikavuka mwaka 2026
Sep 24, 2024 11:02Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza, David Lammy ametabiri kuwa mapigano kati ya Russia na Ukraine huenda yakaendelea kwa angalau miaka miwili zaidi na kuvuka mwaka 2026.
-
Serikali ya Australia kupitisha sheria ya kupiga marufuku vijana wadogo kutumia mitandao ya kijamii
Sep 11, 2024 02:20Waziri Mkuu wa Australia Anthony Albanese ametangaza kuwa serikali yake inapanga kupiga marufuku watoto kutumia mitandao ya kijamii.
-
US yaja na mpango mpya wa kusitisha vita Ghaza, "bila matumaini" ya kufikiwa mwafaka
Sep 09, 2024 06:50Maafisa wa Marekani na wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamesema, Washington "haina matumaini" ya kufikiwa makubaliano ya kubadilishana mateka na makundi ya Palestina katika Ukanda wa Ghaza, lakini pamoja na hayo, karibuni hivi itawasilisha pendekezo lake jipya.
-
Maandamano ya kuwaunga mkono Wapalestina yafanyika Berlin Ujerumani
Sep 09, 2024 02:54Maelfu ya watu wameandamana katika mji mkuu wa Ujerumani, Berlin, na kutangaza himaya na uungaji mkono wao kwa wananchi wa Palestina hususan wa Ukanda wa Gaza.
-
Yemen wafanya maandamano ya mamilioni ya watu kuwaunga mkono Wapalestina
Aug 31, 2024 04:15Kwa mara nyingine tena mamilioni ya wananchi wa Yemen wamemiminika barabarani kulaani jinai za utawala wa Kizayuni na kuwaunga mkono wananchi wa Palestina hasa wa Ukanda wa Ghaza.