-
Wananchi wa Uturuki wafanya maandamano Istanbul kuunga mkono Gaza
Aug 26, 2024 11:26Kwa mara nyingine tena, wananchi wa Uturuki wamefanya maandamano ya kulalamikia siasa za kijeshi na mauaji yanayofanywa na utawala wa kibaguzi wa Israel dhidi ya wanawake na watoto wadogo katika eneo la Ukanda wa Gaza linalokaliwa kwa mabavu.
-
Waungaji mkono wa usitishaji vita wamkalia kooni Netanyahu kwa kuandamana dhidi yake Tel Aviv na Haifa
Aug 19, 2024 08:04Makumi ya maelfu ya watu wamefanya maandamano katika miji ya Tel Aviv na Haifa dhidi ya baraza la mawaziri la Netanyahu na kutaka yafikiwe makubaliano ya kusitisha vita na harakati ya HAMAS.
-
Maandamano ya kuiunga mkono Palestina yafanyika katika nchi 6 za Ulaya
Aug 04, 2024 03:00Maandamano makubwa ya kuiunga mkono na kutangaza mshikamano na Palestina yameshuhudiwa katika miji mbalimbali ya nchi barani Ulaya.
-
Muendelezo wa maandamano dhidi ya Wazayuni katika maeneo mbalimbali ulimwenguni
Jul 04, 2024 07:10Maandamano bado yanaendelea katika nchi tofauti za dunia kupinga mauaji ya halaiki yanayofanywa na jeshi katili la utawala wa Kizayuni huko Ukanda wa Gaza.
-
Maandamano ya vijana Kenya yaendelea, waandamanaji wamtaka Rais Ruto aondoke madarakani
Jul 02, 2024 14:53Vijana wa Kenya, wengi wao wakiwa Generation Z, wamerejea barabarani katika maandamano yaliyopewa jina la #OccupyEverywhere dhidi ya utawala wa Rais William Ruto.
-
Bendera za Israel, US zachomwa moto Brazil katika maandamano ya kuiunga mkono Palestina
Jul 02, 2024 06:12Wananchi wenye hasira wa Brazil wamechoma moto bendera za Israel, Marekani na Umoja wa Ulaya wakati wa maandamano ya kuunga mkono Palestina na kupinga mauaji ya kimbari yanayoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza.
-
Maandamano ya vijana yamlazimisha Ruto kuweka kando Muswada wa Fedha 2024
Jun 26, 2024 15:05Rais William Ruto wa Kenya amesema kwamba hatatia saini Muswada wa Fedha 2024 kuwa sheria. Ni baada ya maandamano makubwa ya siku kadhaa yaliyofuatiwa na mauaji ya waandamanaji mjini Nairobi jumanne ya jana.
-
Polisi wa Kenya washutumiwa kwa kumuua mmoja wa waandamanaji Nairobi
Jun 21, 2024 07:57Asasi za kiraia na mashirika ya kutetea haki za binadamu yameijia juu polisi ya Kenya kwa tuhuma za kumuua kwa kumpiga risasi mmoja wa waandamanaji wanaopinga mpango wa kuongeza ushuru, kodi na tozo.
-
Kuendelea uungaji mkono wa kimataifa kwa watu wa Gaza
Jun 02, 2024 06:31Wananchi wa maeneo tofauti ya dunia wanaendela kufanya maandamano na mikusanyiko kwa ajili ya kuwaunga mkono wananchi madhulumu na wanaosimama imara wa Ukanda wa Gaza na kusisitiza juu ya kusimamishwa jinai za utawala wa Kizayuni katika ukanda huo.
-
Jihadul-Islami: Tunautazama mpango uliopendekezwa na Biden kwa 'jicho la shaka'
Jun 01, 2024 11:13Harakati ya Muqawama ya Jihadul-Islami ya Palestina imesema inautazama kwa jicho la shaka mpango uliotangazwa na Rais wa Marekani kwa ajili ya kuhitimisha vita vya Ghaza.