-
Watunisia waandamana kupinga 'uingiliaji wa kigeni'
May 20, 2024 06:54Wananchi wa Tunisia wamefanya maandamano kulaani na kupinga hatua ya nchi za Magharibi ya kuingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo.
-
Maandamano ya kuunga mkono Palestina na Ghaza yaendelea katika miji mbalimbali duniani
May 13, 2024 04:04Watu wa miji tofauti katika nchi mbalimbali duniani, kwa mara nyingine wamemiminika mabarabarani wakiandamana kuwaunga mkono wananchi madhulumu wa Palestina hususan wa Ukanda wa Ghaza na kulaani jinai za mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala dhalimu wa Kizayuni wa Israel katika eneo hilo.
-
Rais wa Marekani: Nimeupata ujumbe wa wanafunzi wanaounga mkono watu wa Palestina
May 09, 2024 12:23Baada ya zaidi ya wiki tatu za maandamano ya wanafunzi wa vyuo vikuu vya Marekani na wahadhiri wanounga mkono taifa la Palestina, Rais Joe Biden wa nchi hiyo amesema ameupata ujumbe wao.
-
Polisi waondoa kambi ya waungaji mkono wa Palestina katika Chuo Kikuu cha California Kusini
May 06, 2024 04:39Polisi wa Los Angeles huko Marekani wameondoa kambi ya watu wanaoiunga mkono Palestina pambizoni mwa uwanja wa chuo kikuu cha California kusini.
-
Maandamano ya kuiunga mkono Palestina yaendelea katika miji tofauti duniani
May 01, 2024 06:50Wananchi wa miji tofauti ya dunia kwa mara nyingine wameandamana kuwatetea wananchi madhulumu wa Palestina na kulaani jinai za utawala ghasibu wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
Kan'ani: Sauti ya kuvurugika mifupa ya Uzayuni duniani inasikika zaidi hivi sasa
Apr 28, 2024 12:03Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema, sauti ya kuvurugika mifupa ya Uzayuni duniani inasikika zaidi sasa hivi kuliko wakati mwingine wowote.
-
Wanachuo zaidi ya 100 wakamatwa California na Texas, US kwa kupinga vita vya Israel Ghaza
Apr 25, 2024 11:43Polisi nchini Marekani wamewakamata makumi ya wanachuo walioandamana katika Chuo Kikuu cha Texas huko Austin (UT Austin) na Chuo Kikuu cha Kusini mwa California (USC) huku maandamano yanayoongozwa na wanafunzi kupinga vita vya Israel dhidi ya Ghaza yakizidi kushika kasi nchini kote naye Spika wa Bunge Mike Johnson akipendekeza kuombwa msaada wa askari wa Gadi ya Taifa.
-
Maandamano dhidi ya Netanyahu yageuka kuwa ya ghasia
Apr 25, 2024 07:27Maandamano ya kupinga baraza la mawaziri la Benjamin Netanyahu huko Tel Aviv yageuka kuwa ya ghasia na vurugu kali.
-
Maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi na chuki dhidi ya Uislamu yafanyika mjini Paris
Apr 22, 2024 06:18Baada ya mabishano mengi na ruhusa iliyotolewa na mahakama ya kiidara ya Ufaransa, maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi na chuki dhidi ya Uislamu yamefanyika huko Paris, mji mkuu wa nchi hiyo.
-
Wairani waandamana kulaani jinai za Israel katika Ukanda wa Gaza
Mar 25, 2024 02:51Wananchi wa Iran wamefanya maandamano makubwa katika sehemu mbalimbali za nchi ukiwemo mji mkuu Tehran, kutangaza mshikamano na wananchi madhulumu wa Palestina wanaoendelea kuuawa, sambamba na kulaani jinai za kutisha zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza.