Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

maandamano

  • Msudan mwingine auawa katika maandamano

    Msudan mwingine auawa katika maandamano

    Dec 26, 2018 09:52

    Baada ya kuuawa Msudan mwingine katika maandamano ya kupinga serikali, idadi ya wahanga waliopoteza maisha yao katika maandamano yaliyoanza wiki iliyopita, wameshafikia 38.

  • Amnesty: Watu 37 wameuawa katika 'maandamano ya mkate' Sudan

    Amnesty: Watu 37 wameuawa katika 'maandamano ya mkate' Sudan

    Dec 25, 2018 23:36

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema makumi ya watu wameuawa katika makabiliano baina ya polisi na waandamanaji nchini Sudan.

  • Wapinzani: Waliouawa katika 'maandamano ya mkate' Sudan ni 22

    Wapinzani: Waliouawa katika 'maandamano ya mkate' Sudan ni 22

    Dec 23, 2018 03:53

    Kiongozi mkuu wa upinzani nchini Sudan, Sadiq al-Mahdi amedai kuwa watu waliouawa na maafisa usalama katika maandamano ya kulalamikia kupanda kwa bei za bidhaa muhimu kama mkate na hali mbaya ya uchumi ni 22.

  • Mawaziri sita wa serikali ya Israel washiriki katika maandamano ya kupinga serikali

    Mawaziri sita wa serikali ya Israel washiriki katika maandamano ya kupinga serikali

    Dec 17, 2018 11:50

    Baada ya kupata kipigo kutoka kwa wanamapambano wa Palestina na kulazimika Israel kukomesha uvamizi wake wa Ghaza baada ya siku mbili tu, sasa hivi utawala wa Kizayuni umekumbwa na maandamano ya kuipinga serikali huku mawaziri sita wa serikali hiyo nayo wakishiriki kwenye maandamano ya jana usiku ya kumpinga waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu.

  • Maandamano makubwa ya kupinga mfumuko wa bei yafanyika Sudan

    Maandamano makubwa ya kupinga mfumuko wa bei yafanyika Sudan

    Dec 17, 2018 10:01

    Maandamano makubwa ya kulalamikia mfumuko wa bei yamefanyika katika miji kadhaa ya Sudan ambapo waandamaji wakiwa wabeba mabango na maberamu wamepiga nara dhidi ya serikali ya Khartoum.

  • Serikali ya Misri yaogopa kivuli chake, yapiga marufuku uuzaji wa 'vizibao vya njano'

    Serikali ya Misri yaogopa kivuli chake, yapiga marufuku uuzaji wa 'vizibao vya njano'

    Dec 11, 2018 03:51

    Serikali ya Misri imepiga marufuku uuzaji wa vizibao vya njano, ikihofia kuwa huenda wapinzani wakavitumia katika maandamano kama yale yanayoshuhudiwa nchini Ufaransa kwa zaidi ya wiki nne sasa.

  • Wanawake wa Israel waandamana kulalamikia ukatili wa kingono

    Wanawake wa Israel waandamana kulalamikia ukatili wa kingono

    Dec 04, 2018 21:38

    Maelfu ya wanawake wa Israel walifanya maandamano jana Jumanne katika kila kona ya utawala huo haramu, wakilalamikia unyanyasaji wa kingono, mateso dhidi yao na udhalilishaji wa kijinsia.

  • Maandamano yafanyika Buenos Aires, Argentina kupinga mkutano wa G20 na Bin Salman

    Maandamano yafanyika Buenos Aires, Argentina kupinga mkutano wa G20 na Bin Salman

    Nov 29, 2018 09:53

    Raia wa Argentina wamefanya maandamano mjini Buenos Aires, mji mkuu wa nchi hiyo wakipinga kufanyika mkutano wa kundi la G20 utakaohudhuriwa na Mohammad Bin Salman, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudia.

  • Waislamu Nigeria waendelea kuandamana kutaka Sheikh Zakzaky aachiliwe huru

    Waislamu Nigeria waendelea kuandamana kutaka Sheikh Zakzaky aachiliwe huru

    Nov 28, 2018 23:40

    Wananchi Waislamu wa Nigeria wamefanya maandamano ya kutaka kiongozi wa harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo Sheikh Ibrahim Zakzaky aachiliwe huru.

  • Wapinzani kuandamana dhidi ya serikali nchini Zimbabwe

    Wapinzani kuandamana dhidi ya serikali nchini Zimbabwe

    Nov 27, 2018 04:31

    Chama kikuu cha upinzani nchini Zimbabwe kimetangaza Alkhamisi ya kesho kutwa kuwa siku ya kufanya maandamano ya kitaifa dhidi ya serikali.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS