-
Bin Salman akaribishwa Marekani kwa maandamano ya kulaani mauaji ya watoto Yemen
Mar 20, 2018 12:20Maelfu ya wanaharakati wamefanya maandamano nje ya jengo la Capitol Hill lenye mabunge ya Marekani katika jiji la Washington, kulaani mauaji ya watoto wadogo wasio na hatia nchini Yemen yanayofanywa na ndege za kivita za Saudi Arabia.
-
Wanachuo wanaosomea utabibu wafanya maandamano nchini Tunisia
Mar 13, 2018 04:31Wanafunzi wanaosomea taaluma ya udakitari nchini Tunisia wamefanya maandamano nje ya ofisi ya Wizara ya Afya wakishinikiza kutekelezewa matakwa yao.
-
Maelfu ya wahajiri wa Kiafrika waandamana Italia kupinga ubaguzi wa rangi nchini humo
Mar 11, 2018 03:47Maelfu ya wahajiri wa Kiafrika pamoja na raia wengi wa Italia wameandamana katika mji wa Florence kaskazini mwa Italia kupinga vitendo vya ubaguzi wa rangi nchini humo.
-
Waislamu waandamana Nigeria wakitaka kuachiwa huru Sheikh Zakzaky
Mar 09, 2018 12:28Waislamu nchini Nigeria wamefanya maandamano ya amani huko Abuja mji mkuu wa nchi hiyo wakishinikiza kuachiwa huru kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo Sheikh Ibrahim Zakzaky.
-
Wahajiri wa Kiafrika waandamana Italia kupinga mauaji ya Mwafrika
Mar 07, 2018 01:27Wahajiri wa Kiafrika wamefanya maandamano katika mji wa Florence nchini Italia wakipiga nara za kulaani ubaguzi wa rangi na kupinga mauaji ya mhajiri wa Kiafrika yaliyofanywa na raia wa Italia.
-
Hamas yatoa wito wa maandamano ya kupinga kuhamishiwa Quds ubalozi wa Marekani
Feb 25, 2018 23:11Harakati ya Mapambanao ya Kiislamu ya Palestina Hamas imetoa mwito wa kufanyika maandamano ya kupinga nia ya Marekani ya kutaka kuuhamishia Quds ubalozi wake ulioko Tel Aviv, karibuni hivi.
-
Wahajiri Waafrika huko Israel wafanya maandamano wakitaka kuachiliwa huru wenzao
Feb 23, 2018 11:42Kufuatia hatua ya utawala haramu wa Kizayuni ya kuwatimua kwa nguvu wahajiri wa Kiafrika katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu zilizopachikwa jina la Israel, mamia ya wahajiri hao wamekuwa wakifanya maandamano mtawalia mjini Tel Aviv kulalamikia hatua ya utawala huo ya kuwaweka jela wahajiri wenzao.
-
Maandamano dhidi ya Israel yaendelea nchini Tunisia
Feb 19, 2018 12:12Mamia ya wanaharakati wa kisiasa na kijamii wa nchini Tunisia kwa mara nyingine wamefanya maandamano wakilitaka bunge la nchi hiyo lifanye haraka kupitisha sheria ambayo itatamka wazi kuwa ni uhalifu kuwa na uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel
-
Wamarekani waitisha maandamano ya kupinga uhuru wa kubeba bunduki
Feb 19, 2018 12:01Familia za waliouawa katika tukio la kigaidi la ufyatuaji risasi katika shule moja ya jimbo la Florida nchini Marekani wanapanga kufanya maandamano makubwa ya kitaifa kupinga sheria ya uhuru wa raia kubeba bunduki.
-
Maandamano dhidi ya Israel nchini Tunisia
Feb 18, 2018 04:03Wananchi wa Tunisia wameandamana kuunga mkono rasimu ya sheria ya kupiga marufuku uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.