Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

maandamano

  • Watu 17 wauawa katika sherehe za kujitangazia uhuru Cameroon

    Watu 17 wauawa katika sherehe za kujitangazia uhuru Cameroon

    Oct 03, 2017 04:31

    Kwa akali watu 17 wameuawa na wengine wengi kujeruhiwa na askari wa jeshi la Cameroon, wakati wa maandamano ya kushinikiza kujitenga maeneo ambayo wakazi wake wanazungumza Kiingereza, katikati mwa nchi.

  • Maelfu waandamana Ethiopia katika kumbukumbu ya mauaji ya Bishoftu

    Maelfu waandamana Ethiopia katika kumbukumbu ya mauaji ya Bishoftu

    Oct 02, 2017 10:58

    Maelfu ya raia wa Ethiopia wameandamana katika kumbukumbu ya mauaji ya Bishoftu na kupiga nara kuilaani serikali ya nchi hiyo inayoongozwa na Waziri Mkuu Hailemariam Desalegn.

  • Watu 12 wauawa na kujeruhiwa katika maandamano ya 'kujitenga' Cameroon

    Watu 12 wauawa na kujeruhiwa katika maandamano ya 'kujitenga' Cameroon

    Oct 02, 2017 00:57

    Kwa akali watu sita wameuawa na wengine sita wamejeruhiwa na askari wa jeshi la Cameroon, wakati wa maandamano ya kushinikiza kujitenga maeneo ambayo wakazi wake wanazungumza Kiingereza, katikati mwa nchi.

  • Waafrika Kusini waandamana kulaani ufisadi chini ya Rais Zuma

    Waafrika Kusini waandamana kulaani ufisadi chini ya Rais Zuma

    Sep 27, 2017 10:43

    Maelfu ya wananchi wa Afrika Kusini wamefanya maandamano katika mji wa Cape Town kudhihirisha ghadhabu zao kutokana na kashfa mbalimbali za ufisadi, ukosefu wa ajira na kuzorota uchumi chini ya utawala wa Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo.

  • Wakazi wa Bukavu, Kongo DR waandamana kulalamikia ukosefu wa usalama

    Wakazi wa Bukavu, Kongo DR waandamana kulalamikia ukosefu wa usalama

    Sep 25, 2017 11:47

    Wakazi wa mji wa Bukavu, katikati ya mkoa wa Kivu Kusini, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamefanya maandamano makubwa kulalamikia machafuko yanayoendelea katika mkoa huo.

  • Jaji Mkuu wa Kenya amtuhumu Mkuu wa Polisi kwa kupuuzia usalama wa majaji

    Jaji Mkuu wa Kenya amtuhumu Mkuu wa Polisi kwa kupuuzia usalama wa majaji

    Sep 19, 2017 23:54

    Jaji Mkuu wa Kenya, David Maraga amemtuhumu Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Joseph Boinett kwa kupuuzia usalama wa majaji na kwamba anahatarisha maisha yao.

  • Harakati ya

    Harakati ya "Septemba 15" yatoa wito wa kufanyika maandamano makubwa Saudia

    Sep 13, 2017 23:25

    Harakati ya Septemba 15 inayoendesha harakati za amani za upinzani nchini Saudi Arabia imetoa wito kwa wapinzano wote wa utawala wa kifalme wa nchi hiyo kushiriki kwenye maandamano ya kupigania matakwa ya wananchi.

  • Upinzani Togo: Tutasitisha maandamano iwapo rais atajiuzulu

    Upinzani Togo: Tutasitisha maandamano iwapo rais atajiuzulu

    Sep 09, 2017 03:12

    Kiongozi wa upinzani nchini Togo amesema maandamano ya wapinzani dhidi ya serikali ya nchi hiyo yataendelea kushuhudiwa madhali Rais Faure Gnassingbe wa nchi hiyo ataendelea kung'ang'ania madaraka.

  • Jumatatu 4 Septemba, 2017

    Jumatatu 4 Septemba, 2017

    Sep 03, 2017 23:49

    Leo ni Jumatatu tarehe 13 Mfunguo Pili Dhilhija 1437 Hijria sawa na tarehe 4 Septemba 2017

  • Waislamu Indonesia waandamana kuwatetea wenzao wa Rohingya

    Waislamu Indonesia waandamana kuwatetea wenzao wa Rohingya

    Sep 02, 2017 23:24

    Waislamu nchini Indonesia wamejitokeza kwa wingi mabarabarani kushiriki maandamano ya kulaani mauaji na jinai wanazofanyiwa Waislamu wenzao wa kabila la Rohingya huko Myanmar.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS