-
Amnesty International yalaani kimya cha Wamagharibi kwa jinai za Israel dhidi ya wakazi wa Gaza
Nov 13, 2023 02:53Katibu Mkuu wa Shirika la Msamaha Duniani la Amnesty International amelaani kimya cha nchi za Magharibi kuhusiana na jinai na mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza.
-
Kremlin: Russia haiwezi kushindwa katika medani ya vita
Nov 10, 2023 02:52Msemaji wa Ofisi ya Rais wa Russia (Kremlin) amesema ni muhali kwa jeshi la Russia kushindwa katika medani ya vita.
-
Ukweli Uliopinduliwa na Wamagharibi
Oct 21, 2023 08:18Hamjambo wasikilizaji wapenzi na karibuni kuwa nami katika kipindi chetu cha wiki hii cha Makala ya Wiki. Leo tunachunguza madai ya nchi za Magharibi eti ya kufanya hisani na kujali haki za binadamu, tukiangazia hali ya Wapalestina wa Ukanda wa Ghaza katika kipindi cha sasa cha mashambulizi ya kikatili ya Israel yanayofadhiliwa na Marekani na washirika wake dhidi ya watu wa Ghaza.
-
Jitihada za Magharibi za kuzuia kuakisiwa habari za Wapalestina katika mitandao ya kijamii na vyombo vya habari
Oct 15, 2023 02:23Baada ya kuanza oparesheni kwa jina la "Kimbunga cha Al Aqsa" iliyotekelezwa na Hamas na makundi mengine ya mapambano ya Palestina; serikali na vyombo vya habari vya Magharibi kwa upande mmoja vimeanzisha propaganda kubwa ili kuzuia kuakisiwa habari na matukio yanayojiri huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu huku vikichapisha na kutoa habari za uwongo ili kuonyesha taswira isiyo ya kibinadamu kuhusu wanamapambano wa Palestina.
-
Kukiri kwa Borrell kwamba nchi zinazoendelea zinatafuta mbadala wa Magharibi
Sep 26, 2023 07:30Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya, Josep Borrell, ameandika katika makala iliyochapishwa kwenye blogu yake akisema: "Sheria zinazotawala dunia zinachakaa na nchi zinazoendelea za kusini mwa dunia zinatafuta mbadala wa Magharibi."
-
Erdogan na Anwar Ibrahim walaani kuvunjiwa heshima Qur'ani katika nchi za Ulaya
Sep 21, 2023 03:49Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan, na Waziri Mkuu wa Malaysia, Anwar Ibrahim, wamelaani vikali vitendo vya kuchomwa moto nakala za Qur'ani Tukufu katika nchi za Ulaya, na hotuba zinazochochea ouvu, chuki na mashambulizi dhidi ya Uislamu na Waislamu.
-
Kuendelea kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu na siasa za kindumakuwili za Magharibi
Sep 11, 2023 02:27Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Marekani amezungumzia kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu nje ya ubalozi mdogo wa Uturuki mjini New York na kubainisha kwamba, kudharau vitabu vitakatifu ni jambo la kuchukiza.
-
Russia yawatahadharisha Wamagharibi kuhusu kutuma mabomu ya vishada huko Ukraine
Jul 17, 2023 04:23Rais wa Russia amezitahadharisha nchi za Magharibi kuhusu kutuma mabomu ya vishada huko Ukraine kwa kisingizio cha vita. Rais Vladimir Putin amebainisha haya kufuatia uamuzi wa karibuni wa Marekani kuhusu kutuma silaha hizo zizilizopigwa marufuku kimataifa huko Ukraine.
-
Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa lapitishia azimio la kulaani uchomaji wa Qur'ani
Jul 15, 2023 02:46Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa siku ya Jumatano liliidhinisha azimio lililopendekezwa na nchi za Kiislamu la kulaani kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu na kutaka uchunguzi ufanyike kuhusu jambo hilo pamoja na Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu kutakiwa kutoa ripoti kuhusu suala hilo.
-
Tahadhari ya China kuhusu uingiliaji wa nchi za Magharibi katika masuala ya ndani ya nchi nyingine
Jul 08, 2023 02:37Rais wa China, Xi Jinping, ametoa wito kwa nchi mbalimbali kusimama dhidi ya "mapinduzi ya rangi ya nchi za Magharibi". Jinping ametoa wito huo katika mkutano Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai, uliofanyika kwa njia ya mtandao.