-
Iran na Uturuki zasisitiza kushirikiana katika kupambana na ugaidi na magendo ya madawa ya kulevya
Oct 12, 2018 00:10Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Uturuki zimesisitiza juu ya azma yao ya kushirikiana katika vita dhidi ya ugaidi na magendo ya madawa ya kulevya.
-
Rahim Safavi: Iran imekwamisha njama na mipango ya Marekani Mashariki ya Kati
May 06, 2018 12:17Msaidizi na Mshauri mwandamizi wa Amiri Jeshi Mkuu wa majeshi yote ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamuu imekwamisha njama na mipango ya Marekani ya kutaka kuwasha moto na kujikita katika Mashariki ya Kati.
-
Nchi za Asia zambana kiongozi wa Mynamar kuhusu mauaji ya Warohingya
Mar 18, 2018 12:55Viongozi wa nchi za Asia na Australia wamemjia juu kiongozi wa Myanmar kutokana na kutochukua hatua za maana serikali yake kukomesha wimbi la mauaji ya Waislamu wa jamii ya Rohingya mkoani Rakhine.
-
Velayati: Iran ni nchi muhimu katika eneo la Asia Magharibi
Feb 12, 2018 23:28Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika Masuala ya Kimataifa amesema kuwa Iran ni nchi muhimu katika eneo la Asia ya Magharibi na inayo haki ya kujibu na kuitikia miito ya nchi rafiki na mhimili wa muqawama.
-
Tishio la Wamarekani kuanzisha machafuko mapya Asia Magharibi
Oct 20, 2017 09:02Maafisa wawili wa ngazi za juu kiusalama nchini Mrekani wamefichua mipango mipya ya serikali ya nchi hiyo ya kuzua vurugu na machafuko katika eneo la Asia Magharibi.
-
Iran: Marekani, Israel na Uingereza haziutakii kheri umma wa Kiislamu
Apr 29, 2017 22:03Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, kuwepo kijeshi Marekani na nchi za Magharibi katika eneo la Mashariki ya Kati kuna madhara makubwa kwa mataifa ya eneo hili kwani licha ya kuja na kaulimbiu ya kuimarisha usalama na amani, lakini madola hayo ya kibeberu ndiyo sababu kuu ya kutoweka amani na usalama katika eneo hili.