-
Makumi ya Wanyarwanda wafunguliwa mashitaka ya ugaidi Uganda
Dec 29, 2017 04:35Habari kutoka Kampala, mji mkuu wa Uganda zinasema raia 45 wa Rwanda wanaozuiliwa katika kituo cha polisi cha Nalufenya wilayani Jinja wamefunguliwa mashitaka ya ugaidi.
-
Watetezi wa haki za binadamu Misri walaani kunyongwa washukiwa wa ugaidi
Dec 28, 2017 04:20Mashirika saba ya kutetea haki za binadamu nchini Misri yamekosoa vikali hatua ya Misri kuwanyonga watu 15 waliopatikana na hatia ya kufanya mashambulizi ya kigaidi yaliyoua askari usalama huko kaskazini mwa Peninsula ya Sinai.
-
Mladic, aliyeongoza mauaji ya Waislamu 8,000 Bosnia ahukumiwa kifungo cha maisha jela
Nov 22, 2017 12:56Mahakama ya Kimataifa ya Yugoslavia ya Zamani ICTY yenye makao yake mjini The Hague nchini Uholanzi imemhukumu kifungo cha maisha jela Jenerali Ratko Mladic, aliyekuwa kamanda wa kijeshi wa Serbia baada ya kupatikana na hatia ya kuagiza kuuawa maelfu ya Waislamu huko Srebrenica mwaka 1995.
-
Mahakama ya Juu ya Liberia yasimamisha duru ya pili ya uchaguzi wa rais
Nov 06, 2017 10:16Kwa mara nyingine tena Mahakama ya Juu ya Liberia imesimamisha kwa muda usiojulikana kufanyika duru ya pili ya uchaguzi wa rais iliyotazamiwa kufanyika kesho Jumanne.
-
Mahakama ya Juu Iraq yapiga marufuku kujitenga eneo lolote nchini
Nov 06, 2017 10:13Mahakama ya Juu ya Federali ya Iraq imepiga marufuku mpango wowote wa kujitenga mkoa au eneo lolote la nchi hiyo, kufuatia mgogoro uliosababishwa na jaribio la kutaka kujitenga eneo la Kurdistan kinyume cha katiba.
-
Rais Mugabe ataka kurejeshwa hukumu ya kifo nchini Zimbabwe
Nov 02, 2017 04:46Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe ametoa mwito wa kurejeshwa hukumu ya kifo baada ya watu 50 kutuma maombi ya kujaza nafasi iliyo wazi ya mtu wa kutekeleza adhabu ya kunyongwa.
-
Mahakama Kuu ya Liberia yasimamisha duru ya pili ya uchaguzi wa rais
Nov 02, 2017 04:06Mahakama ya Juu nchini Liberia imesimamisha duru ya pili ya uchaguzi wa rais iliyotazamiwa kufanyika mapema wiki ijayo, kutokana na madai ya uchakachuaji na dosari chungu nzima katika uchaguzi wa Oktoba 10.
-
Mahakama ya Uhispania yatengua 'uhuru' wa Catalonia
Oct 31, 2017 10:08Mahakama ya Katiba nchini Uhispania imebatilisha azimio lililopasishwa na bunge la eneo la Catalonia la kutangaza uhuru wa eneo hilo Ijumaa iliyopita.
-
Mahakama ya Pakistan yaagiza kukamatwa Waziri Mkuu wa zamani
Oct 26, 2017 04:32Mahakama moja nchini Pakistan imetoa waranti wa kukamatwa Waziri Mkuu wa zamani wa nchi hiyo, Nawaz Sharif, baada ya kukosa kufika mahakamani kusikiliza kesi ya ufisadi inayomwandama.
-
Mashirika ya kutetea haki za binadamu Marekani yampeleka Trump kotini
Sep 30, 2017 04:40Mashirika ya kutetea haki za binadamu katika jimbo la Maryland nchini Marekani yameenda mahakamani kuushtaki utawala wa Rais Donald Trump wa nchi hiyo juu ya marufuku mpya iliyo dhidi ya wahajiri.