-
Komoro kujiunga na kesi ya mauaji ya kimbari dhidi ya Israel katika Mahakama ya ICJ
Nov 01, 2025 23:42Komoro imewasilisha tamko rasmi la kujiunga na kesi ya mauaji ya kimbari dhidi ya Israel iliyofunguliwa na Afrika Kusini katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ).
-
Mahakama ya ICJ: Israel inapasa kuruhusu misaada ya kibinadamu kuingia Gaza
Oct 23, 2025 07:40Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) imeitaka Israel ijiepushe kutumia sheria zake za upande mmoja maeneo ya Palestina yanayokaliwa kwa mabavu na kuukosoa utawala huo ghasibu kwa kuzuia kufikishwa misaada ya kibinadamu katika eneo lililoharibiwa na vita la Gaza.
-
Iran yamjia juu Makamu wa Rais wa ICJ kwa kuikingia kifua Israel
Aug 17, 2025 08:24Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amemkosoa vikali Julia Sebutinde, Makamu wa Rais wa Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ), kutokana na uungaji mkono wake wa wazi kwa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
ICJ yaafikiana na Israel kuakhirisha kesi ya mauaji ya halaiki Gaza kwa miezi 6
Apr 18, 2025 03:15Katika hatua inayotia wasiwasi, Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) imeafiki ombi la kuakhirisha kesi iliyowasilishwa na Afrika Kusini dhidi ya Israel, kuhusu kampeni ya kikatili na ya kijeshi ya utawala huo wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza.
-
Sudan yaiambia ICJ kuwa UAE inachochea mauaji ya halaiki Darfur
Apr 10, 2025 22:36Sudan iliiambia Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) jana Alhamisi kwamba, Umoja wa Falme za Kiarabu umekiuka Mkataba wa Mauaji ya Kimbari kwa kuunga mkono vikosi vya wanamgambo huko Darfur, na kuwataka majaji wa mahakama hiyo kutoa amri ya dharura ya kuzuia mauaji ya kimbari katika eneo hilo.
-
Afrika Kusini: Katu hatutaondoa kesi dhidi ya Israel ICJ licha ya vitisho vya Trump
Feb 12, 2025 23:23Afrika Kusini imeapa kutoondoa kesi yake ya mauaji ya kimbari dhidi ya Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ), licha ya vitisho, mashinikizo na kukatiwa misaada na utawala wa Donald Trump.
-
Wapalestina wapongeza uamuzi wa ICJ dhidi ya Israel
Jul 20, 2024 02:52Makundi ya kisiasa na kijamii ya Palestina yamepongeza uamuzi uliotolewa na Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) wa kutazama ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika eneo la Palestina linalokaliwa kwa mabavu na Israel la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan kuwa haramu na kinyume cha sheria.
-
Cuba kujiunga rasmi kwenye kesi ya Afrika Kusini dhidi ya Israel ICJ
Jun 22, 2024 07:48Cuba imetangaza kutuma ombi la kujiunga kwenye kesi ya Afrika Kusini katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ), dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel unaotenda jinai dhidi ya binadamu katika Ukanda wa Gaza.
-
Uhispania yajiunga na kesi ya Afrika Kusini ICJ dhidi ya Israel
Jun 06, 2024 23:15Siku chache baada ya Uhispania kutangaza kulitambua rasmi taifa la Palestina, nchi hiyo ya Ulaya imetuma ombi la kujiunga kwenye kesi ya Afrika Kusini katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ), dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel unaotenda jinai dhidi ya binadamu huko Gaza.
-
Afrika Kusini yaiomba Mahakama ya ICJ: Israel 'lazima izuiwe'
May 17, 2024 04:52Afrika Kusini imeitaka Mahakama Kuu ya Umoja wa Mataifa iamuru kusitishwa uvamizi wa kijeshi dhidi ya Rafah kama sehemu ya kesi yake iliyofungua mjini The Hague inayoushutumu utawala wa Kizayuni wa Israel kwa mauaji ya kimbari, ikisema utawala huo "lazima uzuiwe" ili kunusuru maisha ya Wapalestina.