-
Burundi yalaani kitendo cha serikali ya Canada kuwazuia Warundi kushiriki kura ya maoni
May 18, 2018 04:08Wizara ya Mambo ya Nje ya Burundi imekosoa vikali hatua ya viongozi wa Canada ya kuwazuia Warundi wanaoishi katika nchi hiyo kushiriki katika kura ya maoni ya jana na kusema kuwa, kitendo hicho ni ukiukaji wa wazi wa sheria za kimataifa.
-
Barua ya malalamiko ya Syria kwa Umoja wa Mataifa
Mar 23, 2018 02:21Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imeandika barua mbili kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na kwa Rais wa Baraza la Usalama la umoja huo kulalamikia uungaji mkono unaoendelea kufanywa na baadhi ya nchi zenye mfungamano na kambi ya Magharibi kwa makundi ya kigaidi nchini humo.
-
Wahajiri Waafrika huko Israel wafanya maandamano wakitaka kuachiliwa huru wenzao
Feb 23, 2018 15:12Kufuatia hatua ya utawala haramu wa Kizayuni ya kuwatimua kwa nguvu wahajiri wa Kiafrika katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu zilizopachikwa jina la Israel, mamia ya wahajiri hao wamekuwa wakifanya maandamano mtawalia mjini Tel Aviv kulalamikia hatua ya utawala huo ya kuwaweka jela wahajiri wenzao.
-
Onyo la Syria kuhusiana na uungaji mkono mkubwa unaofanywa na Israel kwa ugaidi
Feb 09, 2018 02:31Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imemwandikia barua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Rais wa Baraza la Usalama la umoja huo kulalamikia mashambulio mapya yaliyofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya eneo moja lililoko kwenye viunga vya Damascus, mji mkuu wa Syria.
-
Polisi ya Uturuki yawatawanya waandamanaji wanaopinga uvamizi wa nchi hiyo huko Syria
Jan 22, 2018 07:44Polisi ya Uturuki imetumia mabomu ya kutoa machozi kuwatawanya waandamanaji waliomiminika barabarani kupinga uvamizi wa jeshi la nchi hiyo katika mji wa Afrin, kaskazini mwa Syria.
-
Wasudan waandamana kulalamikia kupanda kwa bei ya mkate
Jan 09, 2018 15:50Maandandamano ya raia wa Sudan ya kupinga ongezeko la bei ya mkate na machafuko baina ya raia na askari usalama yameendelea leo kwa siku ya tatu mfululizo.
-
Rais Rouhani: Maadui wamekasirishwa na maendeleo ya Iran
Jan 01, 2018 16:13Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa mafanikio ya taifa la Iran katika nyanja mbalimbali za kiuchumi, kisiasa na kikanda yamewatia hasira na kuwaghadhibisha maadui.
-
Rais Rouhani: Marekani haina haki ya kujifanya ina uchungu na taifa la Iran
Jan 01, 2018 04:34Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, rais wa Marekani ambaye miezi kadhaa iliyopita aliwatuhumu watu wa taifa la Iran kuwa ni magaidi, hana haki ya kujifanya ni mwenye uchungu na nchi hii.
-
Mikusanyiko ya watu wa Iran yatumiwa vibaya na Marekani, vyombo vya habari ajinabi
Dec 31, 2017 07:55Katika hali ambayo wananchi wa Iran wamekuwa wakijumuika katika maeneo kadhaa kulalamikia ughali wa baadhi ya bidhaa, utawala wa Marekani na baadhi ya vyombo vya habari ajinabi na vilivyo dhidi ya Mapinduzi, vimetumia vibaya mikusanyiko hiyo na kujaribu kuichochea ielekee katika mkondo wa fujo na ghasia.
-
Wananchi wa Mauritania waandamana kumlaani Donald Trump
Dec 11, 2017 14:32Wananchi wa Mauritania wameungana na Waislamu na wapenda haki katika kona zote za dunia kuendeleza maandamano ya kumlaani rais wa Marekani, Donald Trump kwa hatua yake ya kuitambua Quds kuwa mji mkuu wa utawala pandikizi wa Israel.