-
Wamalawi kushiriki uchaguzi wa rais wa marudio kesho Jumanne
Jun 22, 2020 03:54Wananchi wa Malawi wanatazamiwa kuelekea katika masanduku ya kupigia kura kesho Jumanne kwa ajili ya kushiriki uchaguzi wa urais wa marudio.
-
Balozi wa Marekani 'apigwa bomu' katika maandamano nchini Malawi
Jun 07, 2019 13:29Balozi wa Marekani nchini Malawi alikuwa baina ya wafuasi wa chama cha upinzani cha MCP ambao polisi ya Malawi imetumia mabomu ya gesi ya kutoa machozi kuwatawanya kwa kushiriki kinyume cha sheria maandamano ya kupinga matokeo ya uchaguzi mkuu wa rais uliofanyika Mei 21.
-
Rais wa Malawi asema upinzani unataka kumpindua kwa mabavu
Jun 07, 2019 08:12Rais Peter Mutharika wa Malawi ameutuhumu upinzani nchini humo kuwa unalenga kuipindua serikali yake kwa nguvu.
-
Upinzani Malawi kupinga matokeo ya uchaguzi wa rais mahakamani
Jun 01, 2019 03:53Kinara wa chama kikuu cha upinzani cha Malawi Congress (MCP) amesema atawasilisha faili mahakamani kupinga 'wizi wa kura' katika uchaguzi wa rais uliofanyika nchini humo hivi karibuni.
-
Wananchi wa Malawi kusubiri zaidi kujua matokeo ya uchaguzi wa rais
May 27, 2019 07:16Mahakama nchini Malawi imeiamuru Tume ya Uchaguzi nchini humo kutotangaza matokeo ya uchaguzi wa rais uliofanyika hivi karibuni, kufuatia malalamiko ya wizi wa kura yaliyotolewa na upinzani.
-
Wamalawi watakiwa watulie, matokeo ya uchaguzi kutangazwa wiki ijayo
May 23, 2019 04:12Tume ya uchaguzi ya Malawi imetoa mwito wa kuwepo utulivu na uvumilivu miongoni mwa wananchi, wakati zoezi la kuhesabu kura likiendelea baada ya uchaguzi wa Jumanne.
-
Mchuano mkali katika uchaguzi mkuu nchini Malawi
May 21, 2019 13:32Wananchi wa Malawi leo wamejitokeza kwa wingi kupiga kura katika uchaguzi mkuu ambapo rais Peter Mutharika anakabiliwa na ushindani mkali.
-
Rais wa Malawi anakabiliwa na uchaguzi mgumu; kuchuana na aliyekuwa makamu wake
May 17, 2019 12:57Rais Peter Mutharika wa Malawi anakabiliwa na mtihani mgumu katika uchaguzi wa wiki ijayo ambao utawakutanisha pamoja wagombea kadhaa akiwemo aliyekuwa makamu wake ambaye kwa wakati mmoja alikuwa muitifaki wake ; na sasa amegeuka na kuwa mpinzani.
-
UNICEF: Watoto milioni 1.5 wanahitaji msaada kusini mwa Afrika kufuatia Kimbunga Idai
Apr 15, 2019 07:48Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto, UNICEF, limetoa ombi la dola milioni 1.6 kusaidia watoto takribani milioni 1.5 ambao wameathiriwa vibaya na Kimbunga Idai katika nchi za kusini mwa Afrika ambazo ni Msumbiji, Malawi na Zimbabwe.
-
Waliofariki dunia katika Kimbunga Idai wafika 746, maelfu wapoteza makazi
Mar 30, 2019 16:00Mamia ya maelfu ya watu wanahitaji misaada ya dharura ya chakula, maji na makazi baada ya Kimbunga Idai kusababisha uharibifu mkubwa Msumbiji, Zimbabwe na Malawi.