-
Mafuriko yaendelea kuua katika nchi za kusini mwa Afrika
Mar 15, 2019 01:18Makumi ya watu wamepoteza maisha kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini Malawi.
-
Walioaga dunia kwa mafuriko Malawi wafika 28 huku maelfu wakiwa katika hali mbaya
Mar 11, 2019 02:38Idadi ya watu walioaga dunia baada ya mvua kubwa kunyesha na kusababisha mafuriko kusini mwa Malawi imefikia 28 huku idadi ya raia walioathiriwa na maafa hayo ya kimaumbile ikiripotiwa kuongezeka maradufu.
-
Ijumaa, tarehe 6 Julai, 2018
Jul 06, 2018 04:25Leo ni Ijumaa tarehe 22 Shawwal 1439 Hijria sawa na tarehe 6 Julai 2018.
-
Wapinzani Malawi wamtaka Rais Mutharika ajiuzulu kutokana na madai ya ufisadi
Jul 02, 2018 13:51Chama kikuu cha upinzani nchini Malawi leo kimemtaka Rais Peter Mutharika wa nchi hiyo ajiuzulu kufuatia madai kuwa alipokea fedha haramu katika mkataba wa serikali wa dola milioni nne.
-
Maalibino kuwania katika Uchaguzi Malawi mwaka 2019
Jun 29, 2018 03:44Maalbino sita wameazimia kuwania viti katika uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika mwaka ujao nchini Malawi. Wagombea wote sita ni wanachama wa Chama cha wenye ulemavu wa ngozi, Albino, (APAM).
-
Kipindupindu chaua watu tisa Malawi
Feb 20, 2018 15:19Mripuko wa kipindupindu Malawi umeua watu tisa huku watu wengine 541 wakiambukizwa ugonjwa huo kitaifa.
-
Rais wa Malawi awataka wananchi kuombea mvua
Jan 20, 2018 04:39Rais Peter Mutharika wa Malawi amewataka viongozi wa serikali kuliongoza taifa hilo katika maombi maalumu ya kuomba mvua, katika hali ambayo nchi hiyo inakabiliwa na ukame na uhaba wa chakula.
-
Malawi yatangaza maafa katika wilaya 20 za nchi hiyo
Dec 18, 2017 14:29Malawi ambayo tayari inayosumbuliwa na mafuriko kutokana na mvua nyingi, imetangaza maafa katika wilaya 20 baada ya uharibifu mkubwa wa mazao ya kilimo uliosababishwa na hujuma ya wadudu wanaoharibu mazao na kutishia usalama wa chakula.
-
Mahakama Malawi yaamuru kukamatwa rais wa zamani wa nchi hiyo kwa kuhusika na ufisadi
Aug 01, 2017 07:51Mahakama ya Malawi imetoa kibali cha kukamatwa rais wa zamani wa nchi hiyo, Joyce Banda kwa tuhuma za kuhusika na ufisadi na utumiaji mbaya wa mamlaka yake wakati alipokuwa kiongozi wa nchi hiyo.
-
Mutharika: Mazungumzo mapya kuhusu mzozo wa mpaka wa Tanzania/Malawi kuanza
Feb 07, 2017 15:05Rais Peter Mutharika wa Malawi amesema duru mpya ya mazungumzo ya kujaribu kuupatia ufumbuzi mzozo wa mpaka wa nchi hiyo na jirani yake, Tanzania itaanza karibuni hivi.