-
Qur'ani tukufu yatarjumiwa kwa lugha ya Kiyao, Malawi
Jan 02, 2017 06:46Qur'ani Tukufu iliyotarjumiwa kwa lugha ya Kiyao ilizinduliwa Jumamosi iliyopita nchini Malawi.
-
Tanzania kuchunguza madai ya kuifanyia ujasusi Malawi
Dec 27, 2016 04:43Serikali ya Tanzania imesema, itafanya uchunguzi kuhusu habari zilizoripotiwa jana na vyombo vya habari vya Malawi vinavyodai kuwa majasusi wanane wa Tanzania wametiwa mbaroni wakifanya ujasusi katika mgodi mmoja wa urani katika nchi hiyo jirani.
-
Hukumu ya miaka 2 jela kwa aliyenajisi mabinti 100 Malawi yakosolewa
Nov 23, 2016 08:08Mashirika ya kutetea haki za binadamu na asasi za kupambana na maambukizi ya virusi vya HIV nchini Malawi zimekosoa vikali hukumu ya kufungwa miaka miwili jela, iliyotolewa na mahakama moja nchini humo, dhidi ya mwathirika wa virusi vya HIV aliyewanajisi mabinti wadogo zaidi 100 kwa madai ya kuwasafisha na kuwafanyia tambiko la kimila na kiutamaduni.
-
Mutharika: Sishangazwi na walioeneza uvumi eti nimekufa
Oct 16, 2016 13:43Rais Peter Mutharika wa Malawi amevunja kimya chake kuhusu uvumi ulioenea kwa siku kadhaa nchini humo kuwa ameaga dunia na kusema kuwa walioneza habari hizo za urongo ni wapuuzi.
-
Aliyenajisi mabinti 100 Malawi kufungwa jela maisha?
Aug 06, 2016 03:54Mahakama moja nchini Malawi imemnyima dhamana mwathirika wa virusi vya HIV aliyewanajisi mabinti wadogo zaidi 100 kwa madai ya kuwasafisha na kuwafanyia tambiko la kimila na kiutamaduni.
-
Serikali ya Malawi yataka kuchukuliwa hatua za haraka kukabiliana na ukame na njaa
Aug 01, 2016 13:33Serikali ya Malawi imesisitiza kuwa, kuna haja ya kuchukuliwa hatua za haraka kwa ajili ya kukabiliana na ukame na njaa nchinio humo.
-
Polisi ya Malawi yamkamata 'Fisi' aliyenajisi watoto, Rais Mutharika aamuru achunguzwe
Jul 26, 2016 16:55Polisi ya Malawi imemtia nguvuni 'fisi' aliyekuwa akiwanajisi watoto wadogo kwa madai ya kuwasafisha au kuwafanyia tambiko la kimila na kiutamaduni.
-
Watu milioni 8 wanahitajia msaada wa chakula Malawi
May 26, 2016 04:26Serikali ya Malawi imesema kuwa, zaidi ya watu milioni 8 wanahitajia msaada wa chakula nchni humo.
-
Watu wenye ulemavu wa ngozi Malawi katika hatari ya kuangamizwa kikamilifu
May 01, 2016 14:26Watu wenye ulemavu wa ngozi au albino nchini Malawi wanakabiliwa na hatari ya kuangamizwa kikamilifu kutokana na kuongezeka vitendo vya hujuma dhidi yao nchini humo.