-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran: Mapinduzi ya Kiislamu yameitoa Iran kwenye utumwa wa Marekani
Feb 06, 2026 07:53Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amezungumzia maadhimisho ya miaka 47 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu na kubainisha kwamba: "katika kipindi hiki, zimefanyika kazi kubwa na adhimu na zimetolewa huduma nyingi ambazo maneno hayatoshi kuzielezea.
-
Jumanne, tarehe tatu Februari, 2026
Feb 02, 2026 22:54Leo ni Jumanne tarehe 14 Sha'bani 1447 Hijria, sawa na tarehe tatu Februari 2026.
-
Jumatano, 21 Januari, 2026
Jan 20, 2026 23:01Leo ni Jumatano tarehe Mosi Shaaban 1447 Hijria mwafaka na tarehe 21 Januari 2026.
-
Ayatullah Khamenei: Marekani haiwezi kufanya chochote kuhusu mradi wetu wa nyuklia
Jun 04, 2025 03:37Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema urutubishaji wa urani ndio ufunguo wa suala la nyuklia la Iran, akipuuzilia mbali pendekezo la Marekani kwa Tehran la kusimamisha kikamilifu urutubishaji wa madini hayo (ya urani).
-
Mafanikio ya Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran kikanda na duniani
Feb 09, 2025 23:10Leo Iran inaadhimisha miaka 46 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu yaliyotokea mwaka 1979 chini ya uongozi wa hayati Imam Ruhullah Khomeini. Matokeo na mafanikio ya Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran daima yamekuwa na taathira kwa kanda ya Asia Magharibi na dunia kwa ujumla.
-
"Mapinduzi ya Kiislamu yaliathiri mapambano ya Afrika Kusini dhidi ya apartheid"
Feb 05, 2025 08:48Mwanahabari mkongwe mjini Cape Town, Farid Sayed amesema Mapinduzi ya Kiislamu na kuasisiwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kulikuwa na athari kubwa kwa mapambano ya Afrika Kusini dhidi ya mfumo wa ubaguzi wa rangi wa apartheid.
-
Mamilioni ya Wairani waadhimisha Mapinduzi ya Kiislamu, wasema yamehuisha Umma wa Kiislamu
Feb 11, 2024 08:43Mamilioni ya wananchi wa Iran walioshiriki katika maandamano ya kuadhimisha miaka 45 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu hapa nchini wametangaza kuwa: Mapinduzi ya Kiislamu yameibua roho mpya katika mwili wa Umma wa Kiislamu na kupanua zaidi mapambano ya kupinga dhulma na uonevu.
-
Mapinduzi ya Kiislamu, kuandaliwa mazingira ya kudhihiri Imam Mahdi (a.t.f.s)
Feb 11, 2024 00:58Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kuadhimisha miaka 45 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yaliyotokea mwaka 1979 kwa uongozi wenye busara na hekima wa Imamu Ruhullah Khomeini (MA).
-
Msemaji wa Maulamaa wa Palestina: Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yamebadilisha historia ya dunia
Feb 10, 2024 07:10Mkuu wa Baraza la Ushauri na Msemaji wa Baraza Kuu la Maulamaa wa Palestina amesema kuwa, Mapinduzi ya Kiislamu ya nchini Iran si kwa ajili ya nchi hiyo tu bali ni kwa ajili ya ulimwengu mzima kwani yamebadilisha sura ya historia ya dunia.
-
Mafanikio ya Iran katika siasa za ndani za kipindi cha miaka 45 iliyopita
Feb 07, 2024 23:02Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imepata mafanikio makubwa katika siasa zake za ndani na nje kwenye kipindi cha miaka 45 ya Mapinduzi ya Kiislamu humu nchini.