-
Ramani ya Utaratibu Mpya wa Ulimwengu; Sisitizo la Kiongozi Muadhamu la kudhoofika sarafu ya dola
Apr 13, 2023 08:49Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Jumanne ya tarehe 4 Aprili alizungumzia na kufafanua masuala kadhaa katika mkutano na viongozi na maafisa watendaji wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Marekani haijampatia viza Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ya kuingia UN
Apr 12, 2023 09:10Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ametangaza kuwa Marekani bado haijampatia Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergei Lavrov viza ya kuingia nchini humo kushiriki katika mkutano wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa mjini New York.
-
Kuwa wakimbizi mamilioni ya watu duniani ni matokeo ya vita vya Marekani baada ya Septemba 11
Apr 10, 2023 08:16Vita vilivyoanzishwa na Marekani baada ya mashambulizi ya Septemba 11 mwaka 2001 nchini humo yamepelekea zaidi ya watu milioni 37 duniani kuwa wakimbizi.
-
Chanzo cha usalama Iraq kimeonya: Daesh wanarejeshwa al Anbar chini ya usimamizi wa Marekani
Apr 10, 2023 04:22Chanzo cha ngazi za juu cha usalama katika mkoa wa al Anbar nchini Iraq kimetangaza kwamba maafisa wa serikali ya nchi hiyo wanapaswa kuwa na wasiwasi wa kujirudia hali ya mwaka 2014 magharibi mwa mkoa huo na kurudi kwa wapiganaji wa kundi la Daesh (ISIS).
-
"Ramani ya mfumo mpya wa ulimwengu", msisitizo wa Kiongozi Muadhamu juu ya jinsi Marekani inavyofaidika na vita vya Ukraine
Apr 09, 2023 10:51Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Jumanne ya tarehe 15 Aprili alizungumzia na kufafanua masuala kadhaa katika kikao chake na viongozi na maafisa wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Marekani imekithirisha uwekaji wa silaha zake za nyuklia katika bara la Ulaya
Apr 08, 2023 22:46Shirika la habari la Sputnik limetangaza kuwa Marekani imekithirisha uwekaji silaha zake za nyuklia barani Ulaya.
-
Kuchapishwa ripoti rasmi ya serikali ya Biden kuhusu kuondoka Afghanistan
Apr 08, 2023 22:44Ikulu ya Rais wa Marekani (White House) Alhamisi iliyopita iliwasilisha ripoti yake rasmi kuhusu namna serikali ya Biden ilivyoondoka kwa madhila na fedheha huko Afghanistan. Ndani ya ripoti hiyo, serikali ya Trump imetajwa mara kwa mara kuwa ndio inayopaswa kulaumiwa kwa jinsi Marekani ilivyondoka huko Afghanistan katika hali ya mivutano.
-
Poda za Kimarekani za Johnson & Johnson zinasababisha saratani, Tanzania yaanzisha uchunguzi
Apr 08, 2023 07:58Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linachunguza uwezekano wa kuwepo kwenye soko poda za watoto zinazotengenezwa na kampuni kubwa ya dawa ya Marekani, Johnson & Johnson (J&J), ambazo imebainika kuwa zinasababisha saratani.
-
Ombi la Ufaransa na Marekani kwa China kuitaka iwe msuluhishi katika vita vya Ukraine
Apr 07, 2023 04:49Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa siku ya Jumatano aliwasili Beijing kwa ziara ya siku tatu nchini China. Ziara hiyo ni ya kwanza kufanywa na Macron nchini China tangu mwaka 2019. Rais huyo wa Ufaransa jana alifanya mazungumzo na mwenyeji wake Rais Xi Jinping.
-
Lavrov: Russia na Marekani sasa zimeingia kwenye awamu ya Vita Moto
Apr 06, 2023 03:38Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergei Lavrov amebainisha kuwa, nchi hiyo na Marekani sasa zimeingia katika awamu ya vita moto kutokana na muendelezo wa utumaji silaha kutoka nchi za Magharibi hususan Marekani kuelekea Ukraine kwa kisingizio cha vita katika nchi hiyo.