Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • China yaonya, tutatoa jibu Rais wa Taiwan akikutana na Spika wa US

    China yaonya, tutatoa jibu Rais wa Taiwan akikutana na Spika wa US

    Mar 29, 2023 22:45

    China imeionya vikali Washington na kusisitiza kuwa itachukua 'hatua ya kujibu mapigo' iwapo Rais wa Taiwan, Tsai Ing-wen atakutana na Spika wa Kongresi ya Marekani, Kevin McCarthy katika safari yake inayotazamiwa kufanyika karibuni.

  • Ripoti ya China: Hali ya haki za binadamu Marekani 2022 ilizidi kuwa mbaya

    Ripoti ya China: Hali ya haki za binadamu Marekani 2022 ilizidi kuwa mbaya

    Mar 29, 2023 03:40

    China imetoa ripoti yake kuhusu hali ya ukiukaji wa haki za binadamu nchini Marekani katika mwaka uliopita wa 2022.

  • Biden na Netanyahu wajibizana kuhusu 'mageuzi ya mahakama' ya utawala wa Kizayuni wa Israel

    Biden na Netanyahu wajibizana kuhusu 'mageuzi ya mahakama' ya utawala wa Kizayuni wa Israel

    Mar 29, 2023 03:39

    Rais Joe Biden wa Marekani ametoa msimamo kuhusiana na machafuko na maandamano makubwa yaliyoenea katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni yaliyopewa jina la Israel, kwa kueleza kwamba: hali hiyo haiwezi kuendelea.

  • Watu 6, wakiwemo watoto 3 wauawa kwa kupigwa risasi shuleni Marekani

    Watu 6, wakiwemo watoto 3 wauawa kwa kupigwa risasi shuleni Marekani

    Mar 28, 2023 03:47

    Watu sita wakiwemo wanafunzi watatu wameuawa kwa kupigwa risasi wakiwa shuleni katika mji wa Nashville, jimbo la Tennessee kusini mwa Marekani.

  • Kukiri kamanda wa Marekani wa AFRICOM juu ya kutoa mafunzo kwa vinara wa mapinduzi barani Afrika

    Kukiri kamanda wa Marekani wa AFRICOM juu ya kutoa mafunzo kwa vinara wa mapinduzi barani Afrika

    Mar 27, 2023 22:41

    Jenerali wa jeshi la Marekani amekiri kuwa "maadili ya msingi" ya Pentagon yanayofundishwa kwa makumi ya maelfu ya maafisa wa kijeshi wa Kiafrika yanaendana na mapinduzi ya kijeshi.

  • Makamu wa Rais wa Marekani aahidi uwekezaji mkubwa zaidi Afrika baada ya kutua Ghana

    Makamu wa Rais wa Marekani aahidi uwekezaji mkubwa zaidi Afrika baada ya kutua Ghana

    Mar 26, 2023 23:22

    Kamala Harris Makamu wa Rais wa Marekani alisema jana kuwa, Marekani itazidisha uwekezaji wake barani Afrika na kusaidia kuchochea ukuaji wa uchumi alipoanza ziara ya wiki moja barani humo kwanza kwa kuitembelea Ghana; kwa lengo la kukabiliana na ushawishi wa nchi hasimu China.

  • Kata'ib Hizbullah: Ikilazimu, tutakabiliana moja kwa moja na Marekani

    Kata'ib Hizbullah: Ikilazimu, tutakabiliana moja kwa moja na Marekani

    Mar 26, 2023 22:41

    Harakati ya kupambana na ugaidi ya Kata'ib Hizbullah ya Iraq imeonya kuwa, iwapo makundi ya muqawama katika nchi hiyo ya Kiarabu yatashambuliwa na vikosi vya Marekani kama vilivyofanya Syria, basi harakati hiyo haitakuwa na budi kuingia katika makabiliano ya moja kwa moja na vikosi hivyo vamizi.

  • Tangazo la Putin la kupelekwa silaha za nyuklia za Russia nchini Belarus

    Tangazo la Putin la kupelekwa silaha za nyuklia za Russia nchini Belarus

    Mar 26, 2023 22:40

    Rais Vladimir Putin wa Russia ametangaza kwamba katika kukabiliana na kushadidi kwa shughuli za kijeshi za nchi za Magharibi na ongezeko la msaada wao kwa jeshi la Ukraine, Moscow sasa itapeleka baadhi ya silaha zake za nyuklia za kimbinu huko Belarus.

  • Trump atiwa hofu na wasiwasi na muungano wa Iran, Saudia, China na Russia

    Trump atiwa hofu na wasiwasi na muungano wa Iran, Saudia, China na Russia

    Mar 26, 2023 03:39

    Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump ameeleza hofu na wasi wasi alionao juu ya muungano unaoweza kuanzishwa kati ya Iran, Saudi Arabia, China na Russia.

  • Kukiri Waziri wa Fedha wa Marekani kuhusu athari ndogo za vikwazo dhidi ya Iran

    Kukiri Waziri wa Fedha wa Marekani kuhusu athari ndogo za vikwazo dhidi ya Iran

    Mar 25, 2023 22:51

    Janet Yellen Waziri wa Fedha wa Marekani amekiri kuwa vikwazo vya Washington dhidi ya Iran vimekuwa na taathira ndogo kuliko ilivyopangwa."

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS